Shark
JF-Expert Member
- Jan 25, 2010
- 29,636
- 29,511
Wadau Kwema??,
Nilikua nawaza kuongeza gari ndogo home, Shemeji yenu atalitumia pia hata mimi inaweza kunisaidia pale hela ya wese ikigoma kupatikana kwenye gari ya sasa. Sasa katika kuzunguka zunguka mitandaoni nimekutana na hizi gari zinaitwa Passo, kabila la Toyota.
Hizi gari nimezikuta bei zake ziko chini sana kiasi kwamba hata gari imported yenye mwaka mmoja tu Tanzania unaweza kuipata kuanzia Tshs 5mil. Nimeona pia kwa mwaka jana mwanzoni watu walikua wakiziuza mpaka Tshs 6.5mil recently imported by that time. Yaani vina bei ya Chini kuliko hata Porte, Vitz, Duet, Funcargo, Suzuki Kei, etc
Urahisi huu wa bei umenifanya niwaze pengine hivi vigari ni vimeo ndio maana vina bei ya chini, na pengine walioviagiza baada ya kuvigundua ni kimeo wakawa wanawasukumia msala wengine (nimedhani, sina uhakika).
Sasa basi, kuna mdau yeyote humu anaevijua hivi vigari kiundani labda?? Au ni vizima sema tu havivutii ndio maana vinauzwa cheaper??