Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

JF Prefixes:

Habari ya muda huu ndugu wana jamii forum, mimi ni kijana wa kiume umri ni miaka 30. Nina shida ndugu zanguni naomba msaada wenu hata wa kimawazo maana sijui nianzie wapi. Ni hivi, kwa muda sasa...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Wanabodi nawasalimu kila mmoja kutokana na umri wake, Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 22 nilizaliwa nikiwa mzima bila ulemavu wowote mpaka naingia kidato cha nne ndipo nikapata tatizo la...
2 Reactions
35 Replies
5K Views
Siku zangu za kupata hedhi kila mwezi,ni kila tarehe mbili imebadilika sana hedhi yangu, naweza nikapata tarehe moja na huwa naenda siku tano tu. Sasa basi, mwezi ulopita,yaani mwezi wa tatu...
13 Reactions
75 Replies
2K Views
Hivi vipele nimeviona asubuhi sijui ni nini? Haviwashi Haviumi Naomba kujua vimetokeaje kwenye uume wangu na nifanyeje kuviondoa?
4 Reactions
230 Replies
6K Views
Natumai hamjambo humu ndani. Nilikuwa na Swali kidogo hapo. Kwa mwenye kufahamu hili msaada kidogo. Hivi kipimo cha Ultrasound kinaweza kukupa majibu sahihi ya Umri wa mtoto, kwa Mfano labda una...
1 Reactions
19 Replies
1K Views
Wanabodi, Wenye utaalaam na mambo ya anatomy, naulizia anatomical reasons, why only some do and others don't?. For those who does, why some just some little fluid and others so much fluid?! appx...
8 Reactions
194 Replies
29K Views
Salute sana watumiaji wenzangu wa jamiiforum aka wanamember... Nilileta uzi huu hapa nikizungumzia mateso niliyokua napata ya fungus za sehemu za siri nilivyokua nateseka...
28 Reactions
30 Replies
17K Views
Habari zenu wana Jf poleni na tozo poleni na kupanda Mafuta Mimi toka jana nimepata tatizo kila nikila chakula nasikia chumvi sanaa hata kama chakula hakina chumvi. Pia nikinywa juice pia nasikia...
0 Reactions
1 Replies
288 Views
Habari Team Poleni na majukumu, watoto wangu Wana Ugonjwa wa ngozi wanajikuna na kutokea vidonda na kuacha makovu meusi. Nilifika hospital nikaambiwa na alegi waache kutumia ,mayai, nyama, maziwa...
3 Reactions
69 Replies
2K Views
Habari wanajamvi, mwaka jana 2023 mwezi wa 3 nilianza kupata dalili ambazo sikuzielewa km vile; Kuvimba miguu, tumbo kuuma nk. Ikabidi niende Amana hospital ambapo nilipima vipimo kadhaa ie...
11 Reactions
77 Replies
2K Views
Nimebata vibarango naona vinanirudia rudia nimeambiwa labda viko ndan bora itafute dawa ya kunywa ndo vitaisha Sasa ni dawa gani yenye uhakika kwa ambao mmeshatumia
0 Reactions
18 Replies
393 Views
Habari za hapa. Mwaka jana nilipata tatizo la Autoimmune disease ambapo kinga za mwili zina over react na kushambulia mishipa midogo ya fahamu(nerves). Kitaalam unaitwa Chronic inflammatory...
6 Reactions
82 Replies
2K Views
Mimi ni kijana wa Miaka 25 nna tatizo la ukosefu wa nguvu za kiume.. Niligundua hili tangu mwaka 2023 baada ya kushindwa kusex Kwani uume ulisimana ila nataka kuingiza tu nikamwaga na uume...
7 Reactions
68 Replies
4K Views
Habari wana JF! Kama kuna mtu aliewahi kutumia au mtaalamu wa dawa aina ya Amitriptyline naomba feedback + effects
4 Reactions
20 Replies
627 Views
Miezi kadhaa iliyopita nilikubwa na misukosuko mingi sana kimaisha na magonjwa mbalimbali makubwa kuninyemelea ikiwamo high blood presha. Nikiwa kijana kabisa mwenye ndoto za maisha yangu...
21 Reactions
43 Replies
4K Views
Habari wakuu! Hivi karibuni nimeanza kusikia Kelele kwenye Sikio Langu la Kushoto kama Mdudu au filimbi inalia Kwa Mbali. Hapo awali nilihisi ni wale wadudu wanaopiga kelele ardhini, lakini...
0 Reactions
5 Replies
259 Views
Wasalaam Wana JF. Ndugu wanaume tujihadhari sana na huu ushauri wa Prof Janabi anaetamba sana Mitandaoni kwasasa kuhusu kufanya diet. Mojawapo ya mambo anayosisitiza sana ni Kutokula Chakula cha...
3 Reactions
9 Replies
326 Views
Siku ya afya Duniani
2 Reactions
3 Replies
141 Views
Wadau naomba kujua ni kondomu zipi nzuri kwa tendo, yaani zile ambazo haziumizi na ambazo ukivaa na kufanya tendo kama vile unakula kavukavu. Ni zipi hizoo? Msaada plzzzz
9 Reactions
61 Replies
6K Views
Wakuu nina shida, mwanzoni nilienda kwenye polyclinic nikaambiwa nina UTI kali, so nikachoma sindano tano nimezimaliza juzi. Shida ni kua nikiwa nimelala, nikisimama ghafla nasikia maumivu makali...
0 Reactions
4 Replies
411 Views
Back
Top Bottom