Wasaalam
Kuna rafiki yangu alipata ujauzito wakati bado hajajigundua, mume wake ilikuwa kila asubuhi anatapika njano, na homa za hapa na pale na kila alipoenda hospital Ugonjwa haukuonekana...
Kwa uzoefu wa zaidi ya miaka 10 kwenye eneo la Anatomy, Fiziolojia na Mimea tiba nilojifunza maeneo tofauti kuanzia Guangzhou, Dubai , MUHAS (Muhimbili kitengo cha tiba asili) na tafiti kwa...
Anaandika, Robert Heriel
Kuhani katika Hekalu Jeusi.
Angalizo: Andiko hili linawahusu watu wote wenye umri kuanzia miaka 18 waliyokwenye ndoa. Iwe ndoa ya kimila, kidini au kiserikali...
GLP-TZ is an investigational peptide compound being studied for its potential role in weight management, blood sugar regulation, and metabolic health.
GLP-TZ is generally described as a GLP-1...
Wana JF,
Kwa yeyote anejua dawa au mbinu ya kumfanya mlevi kuacha pombe. Nina ndugu yangu yeye bila kilevi cha pombe siku haiendi kabisaa na hii imekuwa inarudisha maendekleo yake nyuma...
Uume Imara (Afya Ya Uume):
Ili kufanya uume uwe imara (kuwa na nguvu wakati wa tendo la ndoa), unahitaji kuzingatia afya ya mwili, akili, na mtindo wa maisha.
Zifuatazo ni baadhi ya njia muhimu...
The process of praying should always be commenced by a period of meditation which clears the mind of the garbage of thought, and makes one ready to receive information from higher planes. To...
Habari zenu wana jukwaa. Mimi ni kijana wa kiume nina changamoto ya maradhi (chronic gastritis & acid reflux) mwenye ufafanuzi naomba anisaidie
BACKGROUND
Nimekua nikisumbuliwa sana na tumbo ever...
Yaani miaka ijayo,tunapoelekea U.t.i itakuwa inaogopwa kuliko ukimwi. Kila sehemu U.T.I sugu yaani balaa tupu,mbaya zaidi uwe kwenye mahusiyano afu umwee ijulikane U.T.I mara mbili, tatu unaachwa🤭.
Husika na kichwa hapo juu. Nina kijana mdogo wa miaka 6 ana matatizo ya jicho moja kutoa machozi na matongotongo mfululizo. Nimejaribu Hizi Antibiotics za macho nimeshindwa nimejaribu sawa kadhaa...
Ugonjwa wa Homa ya Ini (Hepatitis)
Homa ya ini ni ugonjwa unaosababisha uvimbe (inflammation) wa ini, ambao huathiri uwezo wa ini kufanya kazi zake muhimu za kusafisha damu na kuchakata...
Homa ya ini ni hatari zaidi kuliko UKIMWI kwa sababu virusi vyake vina nguvu kubwa na vinaambukiza kwa urahisi wa hali ya juu.
Virusi vya homa ya ini (hasa aina ya Hepatitis B) vina uwezo wa...
Tiba asili za mimea ni hazina kubwa na ya thamani sana katika ustawi wa afya ya binadamu. Kwa miaka mingi, mimea imekuwa chanzo kikuu cha utatuzi wa changamoto mbalimbali za kiafya, na hata dawa...
Watu wengi huamini kuwa mwenye akili kubwa ni yule anayepata alama za juu darasani, anayezungumza kwa ufasaha au anayeshikilia nafasi kubwa katika jamii. Ukweli ni kwamba akili huonekana kwa namna...
MAELEZO YA JUMLA
Kuwashwa (itching) ni hali ya kuhisi mchonyoto unao kera kwenye ngozi unaokufanya utamani kukuna sehemu iliyoathirika unaweza kuwasha sehemu fulani ya mwili pekee au mwili mzima...
Asubuhi
Kuna jamaa amepata dharula hapa mtaani na kukimbizwa hospital na baada ya uchunguzi jamaa amegundulika kuwa kibovu cha mkojo kimeziba.
Katika tiba ikawa kama inashindikana kutokana na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.