Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

On JF:

Tatizo la kunuka sehemu za siri husababishwa na mabadiliko ya bakteria wa asili, maambukizi ya fangasi, magonjwa ya zinaa, au ukosefu wa usafi sahihi, na linaathiri jinsia zote mbili. Ingawa umma...
9 Reactions
68 Replies
710 Views
Guys ni wapi kwa hapa Tz nitapata sehemu wanapandikiza mbegu nimekaa nimetafakari kwa umri wangu huu miaka 23 sijawahi kuwa na demu wala wa kusingiziwa na sina mpango wa kuoa,ninachotaka kufanya...
15 Reactions
140 Replies
1K Views
Habari wakuu. Poleni kwa kuwashtua. Poleni kwa Kuwapa tension. Kuna Bonge la Uzi niliwahi kusoma Mwaka 2020 miaka Takriban 7 Iliyopita. UZI ULIKUWA UNAELEZEA KWA UNDANI MNO KUHUSU HUU HISTORJA...
3 Reactions
16 Replies
205 Views
1.UTI 2. PID 3.Vidonda vya tumbo 4.Bawasiri 5.Presha 6.Kisukari 7.Maumivu ya viungo na ganzi 8.Ngozi ya mafuta na chunusi 9.Ngozi kavu na mikunjo 10.Nywele kukatika au kutorefuka Tuma ujumbe...
1 Reactions
0 Replies
45 Views
Kwa uzoefu wangu mdogo nimebaini Watanzania wengi sana tunapofikisha miaka around 40 tunaanza kupata changamoto nyingi sana za kiafya zinazo weza kuzuilika kutokana na life style zetu. Ukiachana...
2 Reactions
34 Replies
3K Views
Hola! 🙋🏽‍♀️ Ningependa kujua maoni yenu kuhusu bangi(420) pia huitwa weed, marijuana, ganja, n.k.. Kuna watu wanasema wanaitumia kwa kujisikia vizuri, kupunguza stress au hata kama dawa. Pia...
33 Reactions
711 Replies
8K Views
Mimi ni Moja ya watu waliohangaika sana na hivi vipele/vidonda kwa mda mrefu sana. Nimetumia Kila dawa za kienyeji mpaka sindano nimechoma ila hola sikupona. Ila nilivyogundua huu mchanganyiko wa...
0 Reactions
17 Replies
236 Views
Habari!? Eeeeh bwana eeeh, nimeteseka sana aisee. Nimesumbuliwa na shida ya vidonda vya tumbo kwa zaidi ya miaka 10. Katika kipindi hicho chote nimetumia dawa nyingi sana, kuanzia dawa za...
11 Reactions
80 Replies
1K Views
Kwani watu wanaopatwa tatizo la kupungukiwa damu anatakiwa kuongezewa na watu wajamii yake tu au ilimradi damu iwe ya binadamu mwenzie mwenye sifa na vigezo bila kujali jamii yaani...
3 Reactions
35 Replies
393 Views
Nywele zinaweza kutibiwa njia mbalimbali Kemikali Mimea Mafuta Hivi vyote vinaweza kuchanganywa katika bidhaa Shampoo Conditionner Steaming Proteins Mafuta ya Maji/ Mgando Lotions...
1 Reactions
0 Replies
34 Views
https://www.jamiiforums.com/threads/anahitajika-gynaecologists-mzuri-jijini-dar.2422044/
1 Reactions
1 Replies
40 Views
Dozi hii tuloandaa ni elf 50
5 Reactions
82 Replies
1K Views
Hospitali, hasa hospitali binafsi, huwa zinatoza ada tofauti kwa huduma za daktari wa ujumla (Medical Doctor/GP), daktari bingwa na daktari bingwa bobezi. Kama umeomba na kulipia kuonwa na...
8 Reactions
13 Replies
156 Views
Kiwango Bora cha PSA Chahusishwa na Kuongezeka kwa Fursa ya Kupona Saratani ya Tezi Dume Baada ya matibabu ya saratani ya tezi dume iliyosambaa (metastatic prostate cancer), kupungua kwa viwango...
0 Reactions
0 Replies
46 Views
Dawa ya diclopa nikinywa inanipeleka mbio tofauti na dawa za maumivu zingine sujui ni mimi tu au kuna mtu humu inamkuta hii hali
2 Reactions
7 Replies
104 Views
Kilio cha mama kinapochanganyika na sauti ya kwanza ya mtoto, mara nyingi huleta faraja na furaha isiyoelezeka. Lakini nyuma ya pazia hilo la matumaini, kuna nyakati ambazo maisha ya mama na mtoto...
4 Reactions
17 Replies
323 Views
Watu wengi wanadhani wanawake wanaenjoy Sana kujifungua kwa operesheni Operesheni Kwanza inaumaaa nyie sikieni Tu Pili kumbe inapunguza uke Unakuta ulikataa vibamia huko nyuma .mbona...
22 Reactions
152 Replies
2K Views
Revealed: Menopause Age Myths – Are You Early, On-Time, or Late? The Transition Timeline: Understanding Your Menopause Journey The natural cessation of reproductive cycles represents one of the...
0 Reactions
3 Replies
937 Views
Aina nyingi za ngiri ama hernia zinatokea eneo la tumbo kati ya kifua na nyonga. Kwa watu wengi ngiri siyo tatizo linalohatarisha maisha japo ni tatizo lisiloisha lenyewe bila upasuaji ama dawa...
4 Reactions
10 Replies
539 Views
Naomba kujua nini kinaweza kutokea kama ukipatwa na jinamizi ukakosa nguvu ya kunyanyuka na ukaamua ulale maana wengi wetu huwa tunapambana sana mpaka tunanyenyua kiungo kimoja wapo
1 Reactions
6 Replies
114 Views
Back
Top Bottom