Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

On JF:

Dar es Salaam. Wakati watu wakifikiria ukavu wa macho au mdomo ni tatizo la kawaida linalotokana na uchovu, matumizi ya kompyuta kwa muda mrefu au kunywa maji kidogo, wataalamu wa afya wanasema...
1 Reactions
2 Replies
107 Views
SUPER DOSE 2 .- Dr.Zaganza: Wataalamu andaeni mchanganyiko hapo chini unatibu magonjwa 5 1. Unga wa matunda ya Mtomoko (Annona cherimola) 500gm 2. Unga wa mbegu za parachichi (Persea americana)...
1 Reactions
0 Replies
89 Views
Mchunga ( Dandelion) ni mmea wenye faida nyingi sana Binadam. Hapa Tanzania unapatikana porini na majumbani kama maua. MCHUNGA ni mmea unafaha na kutibu maradhi mbalimbali kama vile; Matatizo ya...
1 Reactions
15 Replies
9K Views
Mmea ni majabu ya Mungu kwetu . Mmea hapo kwenye picha : 🥬Kisukuma unaitwa Mjorwambogo. 🥬Kikamba unaitwa Ithaa. 🥬Kikikuyu unaitwa Mwino au mwinu. 🥬Kijaruo unaitwa Ovino au owinu. 🥬Kimeru unaitwa...
50 Reactions
622 Replies
44K Views
Habari viongozi na poleni na kazi, leo nilikua kwenye pilika pilika zangu na ilivyofika jioni nikarudi nyumbani ila nikapitia chooni na ilikua 18:39 na nilipotoka nikawa nazigusa korodani zangu...
0 Reactions
25 Replies
371 Views
Faida za kula bamia: Husaidia kudhibiti kiwango cha sukari mwilini (nzuri kwa wagonjwa wa kisukari) Ina nyuzinyuzi nyingi (fiber) zinazosaidia mmeng'enyo wa chakula na kuzuia choo kigumu Husaidia...
17 Reactions
44 Replies
700 Views
Kizunguzungu cha ghafla kinaweza kutokea kwa sababu mbalimbali (shinikizo la damu kushuka, upungufu wa maji, sukari kushuka, matatizo ya sikio la ndani, n.k). Hapa ni hatua za haraka za kuchukua...
5 Reactions
4 Replies
148 Views
Vyakula vinavyosaidia kuboresha afya ya uzazi kwa mwanaume ni pamoja na: Vyanzo vya protini na zinki Samaki (hasa samaki wenye mafuta kama salmon, sardini) Mayai Nyama nyekundu kiasi (beef...
7 Reactions
8 Replies
280 Views
Kutokunywa maji ya kutosha kunaweza kusababisha madhara kadhaa mwilini: Madhara ya haraka (upungufu mdogo hadi wa kati) Kiu kali na kinywa kukauka Uchovu na kukosa nguvu Kizunguzungu na maumivu...
10 Reactions
16 Replies
328 Views
Kiafya, matumizi ya muda mrefu ya simu yanaweza kusababisha madhara yafuatayo mwilini: Macho Uchovu wa macho (digital eye strain) — macho kuwaka, kukauka, kuwa mekundu Kuona vibaya kwa muda...
3 Reactions
2 Replies
125 Views
Wadau natafuta chuo kwaajili ya ku upgrade taalamu ya ndugu yangu kutoka certificate kwenda diploma Naomba kwaanayefahamu chuo chochite cha peivate kiwe Daresalaam. Natanguliza shukrani.
0 Reactions
4 Replies
397 Views
__________________ 👉ðŸ»Ukiwa na Acid nyingi tumboni kula Tango 👉ðŸ»Ukiwa na tatizo la kutopata choo kunywa mtindi 👉🻠Presha ya kupanda kula ndizi mbivu inaishusha haraka 👉ðŸ»...
1 Reactions
0 Replies
84 Views
Faida za kula nyanya . Nyanya huwa tunazichukuliwa kama mboga za majani, ingawa kiuhalisia ni tunda. Nyanya ni chakula kizuri sana. Ni tamu ukila mbichi katika kachumbari au katika sandwiches, na...
2 Reactions
6 Replies
7K Views
Habari zenu wana JF. Leo nawaletea mbinu za kumuondoa mdudu aliyeingia sikioni. Kuna baadhi ya wadudu huwa wanapenda kuingia masikioni kama vile mende,chawa,nzi nk. Tunamuondoaje?:Tumia moja kati...
4 Reactions
15 Replies
26K Views
Ugonjwa wa Figo (Kidney Disease) Aina kuu: Ugonjwa wa figo wa ghafla (Acute Kidney Injury) - hutokea haraka, mara nyingi kutokana na maambukizi, upungufu wa maji mwilini, au dawa fulani. Unaweza...
4 Reactions
4 Replies
188 Views
BAADHI YA MASWALI YALIYOULIZWA KUHUSU TATIZO HILI Wakuu, nina tatizo la mwili kuwasha baada ya kumaliza kuoga tu. Hili tatizo lilijitokeza kama miaka mitatu iliyopita likatoweka lenyewe, sasa...
4 Reactions
211 Replies
111K Views
Heshima kwenu wakuu, Katika ulimwengu wa biashara wa sasa hapa Tanzania, rasilimali watu ndio injini kuu ya mafanikio ya kampuni yoyote. Wafanyakazi wakiwa na amani ya nafsi (peace of mind)...
0 Reactions
0 Replies
60 Views
-Zipo dalili nyingi ambazo huashiria mtu kusumbuliwa na tatizo la kuzidi kwa Acid tumboni,dalili hizo ni zifuatazo:⤵️⤵️ 1.🖇️ Kuwaka moto kifuani(Kiungulia) hasa wakati wa usiku au unapolala,hali...
5 Reactions
45 Replies
4K Views
Madhara ya uvutaji sigara: Saratani ya mapafu, koo, kinywa, umio, kibofu, na viungo vingine Magonjwa ya moyo na mishipa ya damu (kiharusi, shambulio la moyo) Emphysema na bronchitis ya kudumu...
5 Reactions
9 Replies
157 Views
Anonymous
Kila mwaka tunaona bajeti kubwa zikipitishwa kwa matumizi mbalimbali, na tunasikia mabilioni yakitengwa kwa ajili ya kuboresha vituo vya afya na hospitali, hasa katika maeneo ya mijini. Lakini...
0 Reactions
1 Replies
94 Views
Back
Top Bottom