Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

On JF:

Magonjwa yasiyo ambukizwa (NCDs) yanayoongoza kwa kuathiri watu wengi zaidi duniani ni: 1. Magonjwa ya moyo na mishipa ya damu (cardiovascular diseases) – yanaongoza kwa vifo vingi zaidi duniani...
1 Reactions
1 Replies
94 Views
Habari yaani huu ugonjwa tokea nakua ,leo zmenibana usku huu swez meza ,tafuna . yaani hata kuongea napata shida msaada sjui kama nitapata usingzi.
0 Reactions
22 Replies
14K Views
mtomoko mjaafari kokwa la parachichi Chukua mimea ifuatayo:1.Unga wa matunda ya mtomoko (Annona Cherimola) 500 gm2.Unga...
0 Reactions
0 Replies
114 Views
1. KWANINI MIGUU INANUKA? (SAYANSI NA VYANZO)Miguu yetu ina maelfu ya tezi za jasho (sweat glands) kuliko sehemu nyingine yoyote ya mwili. Jasho lenyewe halina harufu, lakini shida inaanza hapa...
8 Reactions
12 Replies
245 Views
Wakuu, Nipo hapa kuwasisitiza na kuwakumbusha tutunze afya zetu. Binadamu jinsi tulivyo ukiichezea afya yako vibaya kuna wakati unafika unaanza kuoza. Yaan mtu akikutazama hivi anakuona kwa nje...
2 Reactions
11 Replies
256 Views
Kwa kujiamini kabisa nasema kuwa Dawa zenu za Nguvu za Kiume zinachangia au zina ukweli wa 5% tu pekee ila ukweli kamili juu ta tatizo kubwa la sasa la Nguvu za Kiume kwa Wanaume wengi ni Uchumi...
6 Reactions
6 Replies
278 Views
Wakuu naombeni kujua gharama ya kipimo cha endoscopy kile cha mrija wenye camera ambao unaingizwa puani.
1 Reactions
22 Replies
9K Views
U.T.I NI NINI U.T.I. (yaani Urinary Tract Infection kwa kirefu) ni ugonjwa unaotokana na maambukizi (infection) katika mfumo wa mkojo (urinary tract). Maambukizi haya yanasababishwa na bakteria...
3 Reactions
3 Replies
132 Views
Meno ya utotoni – yana umuhimu mkubwa kuliko unavyofikiri. Wazazi wengi hudhani kuwa meno ya utotoni hayana umuhimu kwa sababu baadaye yatang'oka na kuota meno ya ukubwani. Kutokana na imani...
6 Reactions
18 Replies
204 Views
Weekend ya leo tulivu, nilikuwa naperuzi kwenye magroup ya psychology nimekuta post nzito sana, nimeitafsiri na kuiweka kwenu wadau kwasabababu haya mambo tumekuwa tukiyatafsiri ndivyo sivyo...
0 Reactions
4 Replies
105 Views
Huu uzi ni mahsusi kwa.. Ajili ya wale wenye mapungufu ya nguvu" za kiume unaweza kua na upungufu wa nguvu za kiume ukawa hujapata suluhisho, hapa utashea Uliponaje...? ulitumia dawa gani mpaka...
5 Reactions
11 Replies
308 Views
Hata ndugu au mtu unayemfaham amefanya x rays zaidi ya tatu? HOJA SI WANASEMA HULETA SARATANI BAADA YA MUDA FULANI
2 Reactions
19 Replies
249 Views
SARSAPARILLA Root (Smilax Ornata) TREATS / CURES ⬇️ 1. Psoriasis [8 wks, 1 TSPN, 3x dly] 2. Syphilis [12 wks, 1 TSPN, 3x dly] 3. Rheumatoid Arthritis [12 wks, 1 TSPN, 2x dly] 4. Gout [6...
0 Reactions
0 Replies
60 Views
Nina mwaka mmoja Toka nijifungue, ila baada ya kuanza kupata hedhi imekua isiyoeleweka, mara itoke mara mbili kwa mwezi mara itoke siku nyingi Zaid ya Saba, hospital nilienda nikapewa dawa ya...
5 Reactions
24 Replies
349 Views
Bawasiri (Hemorrhoids/Piles) Bawasiri ni hali ambapo mishipa ya damu katika sehemu ya haja kubwa (rectum na eneo la haja kubwa) huvimba na kuwaka, na kusababisha maumivu, kuwasha, au kutokwa...
2 Reactions
0 Replies
130 Views
Kifafa ni ugonjwa sugu wa neva unaosababishwa na mabadiliko ya ghafla ya mfumo wa umeme wa ubongo. Hali hii huleta mshituko na kusababisha mtetemeko (degedege), kukakamaa kwa mwili, na kupoteza...
2 Reactions
2 Replies
157 Views
Uzee ni kitu hakikwepeki. Lakini tafiti za kibotani(elimu ya mimea) zimefatilia jamii zinazotumia mimea ifuatayo na kukuta wazee wa jamii hiyo wakiwa na uwezo mkubwa wa kufurahia uzee wao ,kwa...
2 Reactions
0 Replies
108 Views
Ugonjwa wa Parkinson ni ugonjwa wa mfumo wa neva unaoendelea taratibu, unaoathiri sehemu ya ubongo inayodhibiti mwendo wa mwili. Unatokana na kupungua kwa seli zinazozalisha dopamine, kemikali...
2 Reactions
2 Replies
106 Views
Vitu hatari kwa afya ya uzazi wa mwanaume: Sigara/tumbaku Pombe kupita kiasi Madawa ya kulevya (bangi, cocaine, n.k.) Steroids za anabolic Kemikali za viwandani (pesticides, mafuta ya petroli)...
3 Reactions
5 Replies
210 Views
■ Inasafisha kizazi ■ Inazibua mirija iliyoziba ■ Inaondoa sumu kwa wale waliotumia sindano za uzazi/vidonge vya uzazi. ■ Inakomaza mayai kwa wale wenye tatizo la mayai kutokukomaa na kusababisha...
1 Reactions
8 Replies
165 Views
Back
Top Bottom