Vidonda vya tumbo (peptic ulcers) ni Ugonjwa unaompata mtu ambapo kunatokea vijidudu au mchubuko katika kuta za ndani za viungo vya mfumo wa uyeyushaji chakula michubuko hiyo huweza kujitokeza...
Daktari mstaafu wa magonjwa ya ndani, aliyewahi kufanya kazi katika kitu cha afya kikubwa mkoani Dar es Salaam, Kituo cha Afya Sinza Dar es Salaam Dk. Phoibe Koshuma, anasema magodoro ya kisasa...
Ukiachilia mbali na vipimo vya DNA nitumie njia gani ili kubaini kama kabeba mimba yangu huyu mwanamke? Nimeandika nikiwa na machungu sana haiwezekani baada ya kunasa ujauzito amekuwa akiniona...
Habari JamiiForums,
Mdogo wangu ni mgonjwa na tumekuwa tukipata huduma katika Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) Mloganzila na Upanga tangu Oktoba 2025 kwa ajili ya matibabu ya kifua na mapafu...
Vidonda vya tumbo ni moja ya magonjwa yanotusumbua sana miongoni mwetu na hii siyo Tanzania tu ni dunia nzima. Naleta huu uzi kwa maana wanasema sharing problem is half way of solving it.
Hivyo...
Ni mwanamke mtu mzima 43 years.
Alipata miscarriage 3.
Akawa hapati tena ujauzito.
Sasa amepata tena ila dalili sio njema.
Kuna vipunje vya damu ameviona akijisaidia kama mara mbili.
Gino...
Kutokea uzoefu wa elimu ya mimea tiba na uhusiano wake na elimu ya viungo vya mwili vilipo(Anatomy) na elimu ya mwili unavofanya kazi (Physiology), Huu ni muunganiko wa maarifa mengi yaliyo katika...
No wonder this grass went viral all over the social media. With its endless health benefits, it is truly God’s gift to mankind. We can find this weed almost everywhere throughout the Philippines...
Hii kitu iko.
Au unakuta Mwanamke anamchukia Baba Kijacho au kumchukia/Kumpenda Mtu mwingine. Au kupenda na kuchukia vitu.
Hii inaweza kuelezeka , kwasababu ya Hormonal changes.
Ila sasa, Je...
CONSTPATION NI NINI ?
Hili ni Tatizo la kutopata Kwa Muda Mrefu au" Kupata Mara Chache
Lakini Kwa Shida Sana na Nguvu Kubwa huwa inatumika Katika Kuhakikisha Walau hicho Kidogo Kinatoka , Kwa...
Zahanati ya Kijiji Cha Ndomondo, Kata ya Ndomoni, Wilaya ya Nachingwea tunateseka na huduma za afya kwa Watumiaji wa Bima (NHIF), Mganga Mkuu anawatoza ‘cash’ wagonjwa wenye Bima ili wapate huduma...
Jana nilifika pale hospital ya muhimbili kitengo cha tiba asili nikanunua hiyo dawa ya vidonda vya tumbo, kwa maelezo ya Dr natakiwa kunywa chupa 15 mpaka 20 , nilinunua chupa 5 za kuanzia
Kwahiyo...
Naombeni ushauri wenu wa mawazo wakuu mara kadhaa nimekuja humu kuomba ushauri na msaada kwa yeyote anaejua dawa ya kutibu vidonda vya tumbo lakini haikusaidia dawa nilitumia mno Ila...
Fedha za basket fund ambazo huwa zinaingizwa kwenye vituo vya kutolea huduma za Afya kila baada ya robo mwaka haijaingia tangu mwezi disemba 2025.
Hii imepelekea changamoto ya uendeshaji wa vituo...
Katika Kituo cha Afya Nyarugusu, Geita Vijijini, kuna muuguzi na mtaalamu wa usingizi anayeitwa Fredrik Lugay ambaye anadaiwa kufanya upasuaji kwa wajawazito na wagonjwa wengine, huku akitoza...
Gout/Jongo ni ugonjwa sungu wa jamii ya YABISI ambao umefahamika kwa miaka mingi sana. Inasadikika kuwa watu wa kwanza kuutambua ugonjwa huu walikuwa watu wa Misri, kunako miaka ya 2640BC...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.