JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Imani hizi zitakuja kututoa roho
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Wana bodi, Leo Nimeona tujadili Wana jf ambao walivuma Sana ila siku hizi wako kimya Sana Tunataja Kwa Jukwaa Jukwaa la Mmu - Lara 1 Jukwaa la wakubwa -boflo, asakuta same, Jukwaa la elimu...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Karibu, andika kitu chochote ili tupingane Prof Matunduizi
6 Reactions
144 Replies
8K Views
Wakuu unajua JF bila kuwa na msimamo itavunjika. Ni lazma kama Great Thinkers tuwe na msimamo. Sio mambo yanatokea yaniashia juu juu bila kufanya conclusion yoyote. JF inakuwa haina maana kabisa...
9 Reactions
66 Replies
8K Views
Wanaouelewa uo mtandao sio vizazi vya instagraam.
12 Reactions
113 Replies
11K Views
Zamani hizo muda kama huu babu ameshaninunulia nguo za sikukuu kuanzia za kuendea kanisani Alhamis kuu mpaka za Easter Monday. Sasa hivi naishia kutamani tu. Siwezi hata kuvaa nguo mpya kwenye...
15 Reactions
85 Replies
5K Views
Kuanzia sasa nikiwa nawaita Waandishi wa Habari mje mnipige Picha mkichelewa tu hata Sekunde chache eneo la tukio basi nitakuwa najipiga Picha mwenyewe na nazisambaza katika Media na Social...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
umeshawahi kuwa na pesa halafu ukawa hujui utumie nini? nahisi nataka nitumie lakini sioni nitumie wapi. nimewaza mpka kichwa kina uma 😇😇😎 kuwa na pesa nayo tabu kweli 😆
2 Reactions
57 Replies
4K Views
Wakuu mpo salama! Sawa sawa kama mpo salama nisiwapotezee muda. Nianze kwa kuwarudisha nyuma. Mimi jamii yangu nilikotoka tumegawanyika katika koo. Na hizi koo kila moja inasifa yake. Nitazipa...
2 Reactions
94 Replies
6K Views
Nauza garmin gps 60 Bei maelewano Location mwanza Mawasiliano 0742829883 0717000932 No Zote ziko whatsup
0 Reactions
2 Replies
2K Views
KAMATI YA MAANDALIZI YA SHEREHE ZA UBINGWA WA SSC MC -Mwinyi Zahera DJ-Masau Bwire VINYWAJI-Azam KUNI-Mbao fc KUOSHA VYOMBO NA KUPIKA CHAKULA-Yanga MUZIKI-Mtibwa na Mbeya city ULINZI - Prisons...
6 Reactions
7 Replies
2K Views
Tulioko macho tusomane Mi nko Iringa kwene chimbo moja hivi local sana wanaita holiday nakula vyangu na kuongeza idadi ya dhambi We uko wap na unafanya nini? Ikitokea tupo location moko...
0 Reactions
20 Replies
1K Views
Hi guys, me naukumbuka huu, "hesabu ni nzuri sana weeee mwalimu nifundishe siwezi kusahau ee mwalimu ee mwalimu nifundishe" mwingine "a e i o u hizi ni herufi kuu, tamka kwa sauti kuu, hizi a e...
7 Reactions
147 Replies
23K Views
Wiki ijayo nimepanga kwenda mkoa flani wenye baridi naenda kwa shughuli zangu binafsi but kuna single mom mmoja nilimpata huko mwezi wa kwanza sasa nimemwambia nakuja next week kaanza kuagiza bidhaa
0 Reactions
26 Replies
3K Views
Wadau hivi sisi watumiaji wa huawei tunatakiwa tutupe simu ? Baada google kutowapa huduma ?
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Nilisikia Kuna tajiri fulani alikuwa mzungu Akawa amekodi nyumba anaishi peke yake na katika moja ya chumba alifuga lijoka kubwa ambalo kila baada ya siku kadhaa lilikuwa linahitaji nyama.sasa...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Tu fanye kushare picha za nyau wetu wale tunaofuga nyau majumbani
3 Reactions
49 Replies
5K Views
Wakuu, Jioni njema. Ndauli? Wamisha khinehe, mwadila, mapembelo,aslam aleykum etc. I hooe wote tuko poa, Kama kuna mkuu yeyote as we speaking he/she is currently here at the calabash kama yuko...
2 Reactions
82 Replies
7K Views
Mfano baba anakuuliza eti hivi kwa nini nilikuzaa?hapo unajibuje sasa. Au dem anakuuliza hivi nilikupendea nini??au mtu anakuuliza eti wewe ni me au ke?ili iweje sasa. Ongezea swali lolote...
0 Reactions
30 Replies
3K Views
Nilikuwa nauliza vipi ile party ya wana Jf mwaka Jana vipi ilifanyika.. Maana kitambo sijaingia humu ndani istoshe nilikuwa naskia tu tetesi oooh sijui mshana alijigeuza nyaya za spika akaingia...
0 Reactions
2 Replies
527 Views
Back
Top Bottom