my name is my name
JF-Expert Member
- Jan 12, 2015
- 2,016
- 2,402
umeshawahi kuwa na pesa halafu ukawa hujui utumie nini? nahisi nataka nitumie lakini sioni nitumie wapi. nimewaza mpka kichwa kina uma 😇😇😎 kuwa na pesa nayo tabu kweli 😆
nimezitunza muda mrefu sasa kuna roho inani ambia "tumia tumia" ila mimi sioni nitumie nini 😆[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]zitunze zikusaidie badae
umeshawahi kuwa na pesa halafu ukawa hujui utumie nini? nahisi nataka nitumie lakini sioni nitumie wapi. nimewaza mpka kichwa kina uma 😇😇😎 kuwa na pesa nayo tabu kweli 😆
Katombeeumeshawahi kuwa na pesa halafu ukawa hujui utumie nini? nahisi nataka nitumie lakini sioni nitumie wapi. nimewaza mpka kichwa kina uma [emoji56][emoji56][emoji41] kuwa na pesa nayo tabu kweli [emoji38]
Una sh ngapi sema fasta fastaumeshawahi kuwa na pesa halafu ukawa hujui utumie nini? nahisi nataka nitumie lakini sioni nitumie wapi. nimewaza mpka kichwa kina uma [emoji56][emoji56][emoji41] kuwa na pesa nayo tabu kweli [emoji38]
wapi?Wekeza
KAMPE BABA YAKO YEYE ANAJUA CHA KUFANYA NAZOnimezitunza muda mrefu sasa kuna roho inani ambia "tumia tumia" ila mimi sioni nitumie nini 😆
chambia? what the ffffff is chambia?CHAMBIA
picha ya nini unataka?Picha iko wapi
ninao ila hawajui kama nina pesaKwani hunawazazi?