Huenda sasa Ikulu ya Tanzania ikawa imempata ' Mpiga Picha Mwandamizi ' na aliyebobea kabisa kwa ' Selfies ' zilizotukuka

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,571
108,920
Kuanzia sasa nikiwa nawaita Waandishi wa Habari mje mnipige Picha mkichelewa tu hata Sekunde chache eneo la tukio basi nitakuwa najipiga Picha mwenyewe na nazisambaza katika Media na Social Platforms mbalimbali, kwani nami najua vile vile na nimebobea kama vile mlivyoona leo huko Bondeni.

Nawasilisha.
 
Wivu tu.mbona baraka anafanya hivyohivyo Kama mpiga picha wetu
 
Punguza Hasira halafu Kumbuka hili ni Jukwaa la Utani na nina Uhakika hata ' Mpiga Picha Mwandamizi ' wa Rais Mstaafu Kikwete na Rais aliyeapishwa Ramaphosa Bwana Magufuli akiiona hii atacheka na kuwa Mvumilivu nayo. Utani nao huwa ni sehemu ya Maisha ya Mwanadamu na nimeileta hii hapa kwa dhania / dhana ya ' Kiutani ' zaidi na sina nia ya ' Kumdhihaki ' kama pengine ambavyo Wewe unataka Kulazimisha kama si kupeleka Hisia zako huko.
 
yani wabongo hata ukikooa tu inakuwa mada.ndo maana hata nchi za watu nawaogopa hile rohoo ya ? sijui inaisha lini.ukisikia kwa nini tanzania aina maendeleo hata waliopo nje ukisia anaongea kiswahili mkimbie kama nyoka
 
Kwa ufupi tu hapa unataka Kusema / Kutomboka nini labda Mkuu?
 
Kuanzia sasa nikiwa nawaita Waandishi wa Habari mje mnipige Picha mkichelewa tu hata Sekunde chache eneo la tukio basi nitakuwa najipiga Picha mwenyewe na nazisambaza katika Media na Social Platforms mbalimbali, kwani nami najua vile vile na nimebobea kama vile mlivyoona leo huko Bondeni.

Nawasilisha.
Weka picha mkuu
 
Back
Top Bottom