Maswali ya kijinga hujibiwa kijinga.

ndayilagije

JF-Expert Member
Nov 7, 2016
7,492
8,295
Mfano baba anakuuliza eti hivi kwa nini nilikuzaa?hapo unajibuje sasa.
Au dem anakuuliza hivi nilikupendea nini??au mtu anakuuliza eti wewe ni me au ke?ili iweje sasa.
Ongezea swali lolote unaloona halina maana.
 
Ha ha ha.. Ucku wa manane mtu anakupigia simu, unastuka unapokea simu, anakuuliza unafanya nini..?
 
Mfano baba anakuuliza eti hivi kwa nini nilikuzaa?hapo unajibuje sasa.
Au dem anakuuliza hivi nilikupendea nini??au mtu anakuuliza eti wewe ni me au ke?ili iweje sasa.
Ongezea swali lolote unaloona halina maana.
Je wewe ni shoga?
 
Back
Top Bottom