Hii Ni kwa wale ambao hatuna hofu na kifo tunachojua Ni kwamba Kama Kuna uhai pia Kuna kutokuwepo kwa uhai.kwa hivyo tunafanya mema na tumeshamuona Mungu tayari na bahati nzuri hatujajiha attach...
Kama umemaliza Standard seven kabla ya mwaka 1990. Je, kuna ambao wamefaulu kuwa na whatsapp group?
Na je, likishakuwepo kuna stori gani huko.
Je, mnafanana kwa stori?
Je, group linadumu?
Nakumbuka ilikuwa mwaka 2010 nikiwa natumia ID flani maarufu baadae nikaiacha,
Nilipojiunha JF
1. Nilidhani kila anayetumia jina la mwanamke ni demu kweli, na wengine niliwaibukia nkidhani naweza...
Najua wengi wamepitia secondary Kw namna moja ama nyingine umepitia au umefanya mambo.ambayo.ukikumbuka Huw unacheka au unasikitika
Tulikua tunapigwa sana shule haswa kuchelewa assembly au kuingia...
This is your LIFE. Do what you LOVE, and do it OFTEN.
If you don’t like something, change it. If you don’t like your job, quit. If you don’t have enough time, stop using cell phone. If you are...
Habar wakuu
Nimewaza kwny ili katazo nmeona serikali haikufikilia ki2 kimoja wanapokataza mifuko hii nalo n
Wanatusaidiaje 2naovalia Rambo suluar maana bila lambo utaishia kuchana suluar👌👌
Guys
Am humbled nimeongeza digits za umri wangu muda mchache uliopita. Message ya "wife" ndo imenikumbusha kama leo ni birthday yangu.
Message imenipa faraja sana kutokana na ukweli kwamba...
Jana usiku nilitumiwa hii sms ya mafua..,ilkuwa hivi
mabo vp dugu yangu
mziba? Bwada nasubuliwa da bafua mpaka dashindwa kuatika beseji.Di hayo dugu yangu.Diobeeni dipode.
usiku bweba..
1_usidange mtaa unaoishi.
2_usidange pamoja na ndugu/rafiki ako
3_usimwambie mtu mwingine dau lako,hiyo ni Siri yako.
4_ukikopwa usitangaze
5_usijimilikishe danga
7_usilionyeshe danga...
Kuna movie inaitwa "wahuni wakubwa"
Baadhi ya wahusika:
-One The incredible
-Mapacha wa Blac
-Makamua
-Beberu
-Makanta Crew
Nawengine sikumbuki majina yao.
Bonge moja la movie mwanangu tambaa...
Naam kama ilivyo ada Leo kichenza nimeamua kujianika na kujieleza kwa undani mimi ni nani kwa wasio nifahamu..
Jina halisi naitwa kichenza kichenzule
Ni muhitimu wa Harvard university nimesomea...
Hivi ni mimi tu peke yangu au kuna na wengine humu,
Ni ule wakati najiandaa kwenda kuoga najikuta niko fresh hakuna mkojo wa ile haja kubwa kuuma lakini nikitimba bafuni tu either mkojo unibane...
Hakika kheri na baraka ni zake Mwenyezi Mungu, kwa kutuwezesha kufika hapa tulipo...
Mwenyezi Mungu, awape kheri na baraka wazazi wetu kwa kuweza kutulea na kutufunza mema maishani mwetu...
Nimekumbuka enzi hizo naishi na mama wa kambo nilipitia shida sana kupigwa bila kosa ilikua kawaida sana kupitisha siku nzima dry bila kula ilikua normally sana
Nakumbuka ilikua nikifaulu...
Kuna watu wamejaliiwa kuzungumza, yani mnaweza kukaa mahala akawa anaongea yeye tuu muda wote.
Kiukweli hawa watu wanaboa hasa ukutane na yule mjuaji na mbishi yani ukitaka kumuongelesha tuu...
Mabaharia tu ile papuchi uliyoigonga kwa bei nafuu zaidi uliigonga kwa shilingi ngapi?
Binafsi papuchi niliyoichapa kwa bei nafuu zaidi ni shilingi elfu 2,
dodoma pale maeneo ya huindini mzee...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.