Samia atosha tukutane2030
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 17,708
- 49,723
Ni msiba mzitoHuyu jamaa anaongozwa na vitu vichafu sana mwilini mwake.
Unaweza fikiri anaigiza
Vitu vinavyomwongoza ni uharibifu mkubwa sana
Kuna wengine wengi pia wanaongozwa na mapepo machafuNi msiba mzito
Ameguloooo upo shost miss youKapendeza mwenyewe na mekapu yake
AstaghfiruAllahHuyu ata tukimuwahi haponi mabwashee
Mimi mbona nipo sana tu ni vile tu labda hatuonaniAmeguloooo upo shost miss you
Eeh kwanini 😁 🤣Huyu ata tukimuwahi haponi mabwashee
JF ni kijiji kumbe sawa mamaaMimi mbona nipo sana tu ni vile tu labda hatuonani