JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Ndugu zangu. habarini simu yangu inapitia wakati mgumu. Wakati namtafuta ephen_ kipenzi nahisi nayeye anatumia simu ya mkopo maana simuoni hata akichangia na kulike mada humu jukwaan. min -me...
13 Reactions
113 Replies
1K Views
Hivi inakuwaje mtu mwenye akili timamu anakula Pweza, Bata, Nguruwe au Ngamia? Ni ulafi, uroho au nini shida?
3 Reactions
22 Replies
315 Views
Ndugu zangu tupewe nini tena? Hapa Tungekinya ukishaweka VPN unaona vyote duniani. Huna haja ya kukimbizana na wapiga mizinga ni mwendo wa bundle, sabuni na mkono wako tu
3 Reactions
17 Replies
810 Views
Najaribu kuwaza tu, jukwaa hili likiamua kuanzisha saccos kwa kila mwanachama akawa anachangia 1000 kila mwezi na kuwepo utaratibu mzuri wa kupata pesa pale panapohitajika; Je, kuna mwanachama...
4 Reactions
53 Replies
420 Views
Its so amazing kwamba mnakaa sehemu moja lakini kutokana na utambulisho bandia mnakuwa hamfahamiani kabisa... Halafu kinatokea kitu kidogo sana lakini chenye uzito wake.. Kisha mnafahamiana. Mimi...
11 Reactions
63 Replies
4K Views
Je ni sahihi kwa wanajukwaa kujengeana mabifu, chuki na dharau?
8 Reactions
38 Replies
404 Views
Hii Level Sio Ya Kila Mtu, Hata Niki-Explain Hutaielewa 😮‍💨💼 Wakuu, kuna maisha unayaishi hadi unajishangaa kama ulikuwa unaishi au ulikuwa unavumilia tu kabla 🤷🏽‍♂️ Juzi nilikuwa napitia...
12 Reactions
113 Replies
1K Views
KESHO SAA 10 JIONI HAKIKISHA UNAFIKA KWENYE SHEREHE / KIKAO CHA xxxxxx. USIKOSE ! Ni message ambayo huwa inapokelewa vizuri sana na watu wa kawaida wakiwaza kukutana na watu wengi pamoja na...
3 Reactions
6 Replies
191 Views
Kwema wakuu, Mada hapo juu yahusika share kitu gani umewahi kusikia ukabisha sana ukidhani kuwa ni chai, lakini baadae ukajagundua ni kweli. Na vipi ulipogundua ni kweli, uliamini au uliendelea...
3 Reactions
171 Replies
2K Views
Kila muda cc mahondaw, hata uzi wa kuomboleza cc mahondwa, we ngoja siku nikiwashika pamoja👇🏻
2 Reactions
13 Replies
572 Views
salute!. Katika hali ya kawaida binadamu tunakutana au hata kufanya mambo mengi sana mema na mabaya..Na mengine tulishashau kwasababu ama umepita muda mwingi tangu umelifanya au kwa sababu...
3 Reactions
94 Replies
7K Views
Zamani tulikuwa tukijenga nyumba zetu, tutaweka bustani ndogo ndogo za mbogamboga na mtunda, mabanda ya mifugo midogo midogo ili utakapo hitaji chochote iwe ni rahisi kupata hapo ulipo. Nyakati...
16 Reactions
103 Replies
875 Views
Biashara ni upambanaji, ukilala na biashara nayo inalala. Ila kwa mwajiriwa, ata akilala mwisho wa mwezi utasoma. Usitegemee mtu aliyeajiriwa akupe ushauri chanya kwa kitu ambacho yeye...
6 Reactions
40 Replies
486 Views
Wakuu, baada ya ubishi mkubwa kuhusu suala la Dunia kujizungusha kwenye muhimili wake kutawala humu JF na kote vijiweni secretarybird, niliamua kufanya utafiti, ili kuwaleteeni majibu sahihi juu...
7 Reactions
34 Replies
303 Views
Unakuta kijana anaamka saa Tano aisee yani mwanaume kabisa unaamka saa Tano na unandoto siku Moja uje uoe nakwambia utalea mimba za wanaume wenzako badilika kijana In reality kwa miaka ya sasa...
8 Reactions
25 Replies
472 Views
Mimi nilikia najichukulia poa lakini kuna siku wanawake wawili walinipigania. Walipigana haswa hadi balozi alikuja kuamua na kila moja alipigana na mwenzake kwasababu wote walikua wananipenda...
9 Reactions
20 Replies
413 Views
Ni kweli maisha ni magumu lakini nini kinakupa furaha atleast. Me;
14 Reactions
170 Replies
2K Views
Ni kitu gani unapendelea sana kufanya?
6 Reactions
63 Replies
526 Views
Gari ni sanduku la mabati lenye matairi linalotembea barabarani, hii ndio maana ya neno halisi gari. Kwa mtazamo wako, gari ni nini?
2 Reactions
7 Replies
135 Views
Vibabu na vibinti Vibibi na vibenten Kwanini kila watu wasishinde mechi zao? Liability and assert!
3 Reactions
36 Replies
363 Views
Back
Top Bottom