Wazo la JamiiSaccos

Wazo la JamiiSaccos

Equation x

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2017
Posts
37,964
Reaction score
57,450
Najaribu kuwaza tu, jukwaa hili likiamua kuanzisha saccos kwa kila mwanachama akawa anachangia 1000 kila mwezi na kuwepo utaratibu mzuri wa kupata pesa pale panapohitajika; Je, kuna mwanachama yeyote mwenye akili timamu atabaki kuwa masikini?

Kwa makadirio tu ya haraka, michango kwa mwaka inaweza fikia 6 bilioni (1000 x 500,000 x 12).

Karibu kwa mjadala.​
 
Equation sijui mchaga huyu jamaa yeye mara nyungi anawaza mambo ya kuchangishana hela mara tukopeshane yaani yeye ndiyo maisha yake .

Leo kasema alienda kumtembelea mzee wa miaka 75 ,ajabu na hilo zee linamlilia Equation eti bado linaumia ni liyatima nakahisi huyu jamaa yetu atakuwa alienda kumshawishi mzee waanzishe saccos sijui ya kijiji au mtaa ,mzee akaona isiwe tabu akwepee upande wa uyatima .

Hapo nawaza kama huyu ndugu yetu ni mchaga tukikubali tunalo lazima tutawashirikisha wapiga ramli waseme alipo na hela zetu
 
Kaka salamaleko uhali gani?
Nikimuona pastor IPM nakukumbukaga wewe ulituambia mlikua mna piga nae pombee
 
Wao waanzishe JAMIIPAY, kuwe na mfumo salama wa kufacilitate malipo na manunuzi, kuweka na kutoa fedha,utakao milikiwa na JamiiForums, kuhamisha fedha, kufanya malipo ndani na nje ya nchi. Ifike mahala wenye hii platform waitumie kufanikisha biashara na kutengeneza faida zaidi, kidigitali.
 
Najaribu kuwaza tu, jukwaa hili likiamua kuanzisha saccos kwa kila mwanachama akawa anachangia 1000 kila mwezi na kuwepo utaratibu mzuri wa kupata pesa pale panapohitajika; Je, kuna mwanachama yeyote mwenye akili timamu atabaki kuwa masikini?

Kwa makadirio tu ya haraka, michango kwa mwaka inaweza fikia 6 bilioni (1000 x 500,000 x 12).

Karibu kwa mjadala.​
All in all, miongoni mwa member ambao Huwa tunasoma/ tumesoma michango mingi humu jukwaani.

Hili wazi Kuna wadau huko nyuma wamewai kulileta na likajadiliwa kwa kina sana ngoja nikuwekee huo uzii mpaka katiba ya SACCOS ilipendekezwa na iliwekwa draft ngoja niu search huo uzii unaweza ukasaidia pa kuanzia
 
Back
Top Bottom