Jambo gani uliwahi kulifanya na ni siri yako tu

Mwene chungu

JF-Expert Member
Nov 12, 2016
915
752
23bf6d7594bce1745576872386b4bc31.jpg

salute!.

Katika hali ya kawaida binadamu tunakutana au hata kufanya mambo mengi sana mema na mabaya..Na mengine tulishashau kwasababu ama umepita muda mwingi tangu umelifanya au kwa sababu limekosa maana kulingana na hali au wakati ulio nao kwa sasa...
..

Kupitia uzi huu, ni jambo gani unalokumbuka uliwahi kulifanya lakini ni siri ama kwako mwenyewe au na mtu wako karibu sana lakini hakika ni siri kuwa lingejulikana lingekushushia hadhi au hata kutoeleweka vuzuri familia, jamii au mahala pako pa kazi.
 
Back
Top Bottom