Wana bodi Kuna ule utapeli unaofanyika anakuja mtu amepaka sijui madawa sijui wanasema Anatembea na majini ila anachofanya anakuongelesha ukianza kumjibu tu unajikuta unapoteza ufahamu kiasi Cha...
Nikiwa naelekea kuadhimisha kumbukumbu ya siku yangu ya kuzaliwa, leo mimi Madame B niko online muda huu hapa MMU.
Naomba uniulize swali lolote kunihusu mimi,
Iwe ni:
Masuala ya Mahusiano,
Masuala...
Age go? no problem
Imetembezwa kilometers nyingi! usijali
Imetumika kama shortcut hivyo wamepita wengi.. Ufumbuzi umepatikana
Imepokea kila size sasa imepwelepweta? Usihuzunike tena!
Kwetu pwani...
Nafikiri huu sio uzi wa kwanza ila leo natoa shukurani zangu za dhati pia kwa alieanzisha JF na akatuletea mungu amuongezee akili zaidi kutoka kwa baadhi ya members humu.
Akili za baadhi ya...
Katika hili naomba niwataje kabisa
Kwa members wote hasa Seran na min -me sitaki posts zangu kuwa mnazilike, mnafanya notification dashboard yangu kujaa sana na kujaza server za JF yetu tukufu...
Mzuka wana jamvi ?
Katika uchunguzi wangu nimegundua kuwa member ngluli wa Jf GENTAMYCINE na Rais wa Marekani Donald Trump ni watu ambao wanafanana sana tabia .
1. Wote hata uwe rafiki yake vipi...
Mvuta bangi alikua anaongea na mlaji miraa.
Mlaji miraa akauliza mvuta bangi kama india ni mbali na tanzania.
Mvuta bangi akasema ni karibu kwa sababu mkubwa wangu mhindi huja na baiskeli kila...
Nimekuwa nikijiuliza sana.
Nikiweka vocha ya 10,000 napata 10,000 exactly.
Sasa hawa makampuni ya simu wanapataje faida kama wanarudisha hela ile ile?
Au kuna kitu sielewi hapa?
Naomba...
Nimeikata mwanzo kwasababu ina baadhi ya maneno ambayo hayapendezi kusikika kwa umma
All in all inanikumbusha kijana wangu moja alikua na uwezo wa kipekee, yeye alikua anauwezo wa kuelewa lugha...
Mzuka wana jamvi ?
Wanawake wengi wanapenda mitandao kama Instagram, TikTok , Fb nk ambayo haina mambo magumu ni showoff kwenda mbele .
Lakini Jf pisi Kali anabishana na secretarybird kuhusu...
https://youtu.be/l9O_SFcH4Kk?si=8pa6gXoGqegGxO-s
https://youtu.be/_z-1fTlSDF0?si=zCuY2MKF0Bw079lm
Happy birthday to me Vincenzo Jr
Ishi maisha marefu sana hauna baya iconic wa kigamboni 😎...
Asalaam aleykum!
Wakuu habari za siku nyingi,wale waliotangulia mbele za haki mungu awasamehe makosa yao wapate amani na wale wangonjwa Mungu awaondolee maradhi ili waendelee katika shughuli za...
Natambua kuna majukwaa mbalimbali ya kuandika chochote kulingana na maudhui ya jukwaa husika
Chitchat ndio jukwaa halisi la ku chill kwa kuandika mada za utani, vituko na kupunguza stress za...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.