Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 39,939
- 61,733
Gari ni sanduku la mabati lenye matairi linalotembea barabarani, hii ndio maana ya neno halisi gari. Kwa mtazamo wako, gari ni nini?
Badala haya masanduku muyatumie kutunzia nguo, nyie mnayatumia kama kibebeo cha watu.Chombo cha kuopolea watoto wakali
Mkuu unavuta bangi siku hizi?Kutembelea makalio sio?
Dogo anachezea simu, nilikuwa ibadani mkuu! Bangi kabisa? Mimi? Hapanaa..Mkuu unavuta bangi siku hizi?
