Haina maana kujengeana chuki ndani ya JF

IMG-20260420-WA0045.jpg
 
mtu ako anafanya hivyo anaupungufu wa vitamini katika ubongo wake
Unajua naheshimungi Kila mutu kwa hii forum, but nashindwanga kukuwa mpole ninaporushiwa kombora (matusi).

Due Mimi nina intercontinental ballistic missile (ICBM) kwa kabati langu nikionanga muta ameni attack huwanga namrushia bomu ambayo iko nzito kuliko ile ako nayo.
 
anaye ku attack mpotezee ukirudisha kombora unaonekana zuzu na anaweza kukuvurugia siku kuna watu kiasili ni wakorofi unapompa nafasi ya kujibizana unamwongezea nguvu potezea ajihisi mjinga
fanya kwa amani ya moyo wako
 
Back
Top Bottom