JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Kataa ndoa,chaputa,great thinkers, Ndoa,watalaam wa mapenzi,wadaku,mabikra,waseja,timu bia,uhuni au upo tuh
3 Reactions
10 Replies
145 Views
Mzuka wana jamvi ? Wanawake wengi wanapenda mitandao kama Instagram, TikTok , Fb nk ambayo haina mambo magumu ni showoff kwenda mbele . Lakini Jf pisi Kali anabishana na secretarybird kuhusu...
27 Reactions
109 Replies
1K Views
Uliacha au uliachwa? Kwanini? Mliachana? Kwa vurugu au kimyakimya? Uliachwa na faida au na hasara? Mlijaribu kurudiana? Mliweza?
12 Reactions
323 Replies
3K Views
Jenga utamaduni wa kujiuliza mwenyewe maswali magumu kuhusu maisha yako!
1 Reactions
5 Replies
127 Views
https://youtu.be/l9O_SFcH4Kk?si=8pa6gXoGqegGxO-s https://youtu.be/_z-1fTlSDF0?si=zCuY2MKF0Bw079lm Happy birthday to me Vincenzo Jr Ishi maisha marefu sana hauna baya iconic wa kigamboni 😎...
25 Reactions
107 Replies
3K Views
Asalaam aleykum! Wakuu habari za siku nyingi,wale waliotangulia mbele za haki mungu awasamehe makosa yao wapate amani na wale wangonjwa Mungu awaondolee maradhi ili waendelee katika shughuli za...
4 Reactions
65 Replies
799 Views
Natambua kuna majukwaa mbalimbali ya kuandika chochote kulingana na maudhui ya jukwaa husika Chitchat ndio jukwaa halisi la ku chill kwa kuandika mada za utani, vituko na kupunguza stress za...
10 Reactions
95 Replies
1K Views
unajiona tajiri una majumbu kila city kumbe ni hallucinations inayosababishwa na shada/bangi Cc Vincenzo Jr
4 Reactions
46 Replies
500 Views
Nikaambiwa ujue tunakuchukulia kama kaka yetu! Kwahiyo.. Yaani mimi NI KAMA KAKA YAO..! Lakini mimi sio kaka yao maana hatuna hata vinasaba vya DNA😀
11 Reactions
46 Replies
768 Views
Nyani Ngabu mzee wa kijiji Hawa wakongwe umu wapewe heshima
5 Reactions
4 Replies
399 Views
Forget. Kifupi ni kwamba, Sikuwahi kuamini kwamba mtu anaweza akaku-follow then next day anakuonyeshea kidole cha kukusonta na kukusontea anakupiga masingi tena kwa issue ya kijinga kijinga...
1 Reactions
3 Replies
154 Views
Habari za muda huu wana Chit-Chat. Hivi karibuni nimekuwa nikitafakari kuhusu watu ambao tunapenda sana kukaa peke yetu (solitude) ili kufanya mambo yetu ya msingi au kutafakari. Kuna watu...
2 Reactions
8 Replies
133 Views
Usiku na mchana, nimefanya bidii kuwagawia chakula cha uzima. Muda umefika sasa wa mimi kuondoka na kwenda Yerusalemu, Yudea, Samaria, na hata miisho ya dunia ili niwe shahidi wa Yesu Kristo...
10 Reactions
18 Replies
270 Views
Mlev alienda baa baada ya kufika akaketi.Akamuita mhudumu akamweleza amletee bia.mhudumu alipoleta bia kulikuwa na watu karbu naye.Mlev yule akaagiza mhudumu awaletee bia maana hapend akinywa watu...
0 Reactions
4 Replies
125 Views
Jf ina wanachama wengi, nadhani hatuko pungufu ya laki 5; leo hii kila mwanachama tukiamua kujichangachanga laki laki, hatuwezi kweli kuanzisha mradi wetu wa kuchimba mafuta na kuwauzia nchi...
6 Reactions
45 Replies
365 Views
Kuna baadhi ni unisex havina shida Ila kuna baadhi vinaweza kuleta shida likitokea la kutokea Shanga Chupi Boxer Mkufu? Vest?
12 Reactions
120 Replies
1K Views
Mshkaji alisherehekea bao la kwanza kwa mbwembwe nyingi akimbia uwanja mzima wakati demu anadai "VAR" iangaliwe kwa sababu bao lilikuwa la "offside" maana kwa lilidumu sekunde chache tu.. au...
10 Reactions
49 Replies
660 Views
raraa reree kama umerejea humu jukwaani karibu sana ndugu yangu. Unaweza kueleza nini kilikufanya ukae nje ya mtandao kwa muda mrefu hivyo?
5 Reactions
17 Replies
254 Views
Neno Acha Ujinga limekuwa maarufu sana jf,na limetumika kuanzia zamani sana,juzi nilitembelea uzi wa Makapuku nikakuta toka 2016 hili neno linatumika sana Kwahiyo neno hili lipewe imoji ili iwe...
8 Reactions
15 Replies
184 Views
Huu ni umri wa kupumzika na kutafakari yale yote uliyoyatenda katika ujana wako, kuanzia kimasomo, kimaisha, kikazi n.k Ni umri ambao hauna tija tena katika uzalishaji; ndio maana wengi...
28 Reactions
230 Replies
2K Views
Back
Top Bottom