What makes you happy?

What makes you happy?

Red black

JF-Expert Member
Joined
Nov 29, 2019
Posts
13,321
Reaction score
41,502
Ni kweli maisha ni magumu lakini nini kinakupa furaha atleast.

Me;
Screenshot_20260417-192719~2.jpg
 
Kutazama mandhari asilia , milima ,mabonde , vijito vya maji ,maporomoko ya maji, mbuga za wanyama , uwanda wa nyika , ni kati ya starehe yangu kubwa maishani , sijali kupoteza kiasi fulani cha pesa ,kujipa starehe hizo.
 
Mvua ikinyesha binafsi najisikia raha mno
Miaka ya 90 mvua ilikua ikinyesha ikikata anga linabaki la kupendeza sana , sauti za ndege na makundi mbali mbali ya vipepeo yalikua yanaruka na kupendezesha mandhari ya uso dunia kwa namna wa kipekee sana, sijui siku hizi ile hali kwa nini imetoweka🤔
 
Kua sehemu tulivu isiyokua na kelele,
Kutembelea museum,kusafiri na kuexplore new things,kutembelea mji ambao nilispend my childhood,hua inanikumbusha where i came from,

Kikubwa zaidi ambacho hunipa furaha ni pale ninapomsaidia mtu mwenye shida/uhitaji,hapa nafsi yangu hua inakua na amani sana,yani hata mtu akiniuliza direction tu na nikamsaidia kumuelekeza njia,hua inanipa amani sana.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom