Mtu yupo ndani kwake siku nzima, kama hujamzoea unaweza kuhisi kuna shida ila ukiishi hapo kwa muda mrefu unamgundua wala hana shida, haonyeshi dalili za masikitiko, ndo furaha yake,
Anapenda...
Wakuu salamu popote mlipo, pia poleni na heka heka za kila siku maana kwa ground mambo ni magumu sana, tuendelee kujitafta.
Nirudi kwenye key, kwa ufupi sana:......
"wewe legendary kama uliweza...
Mimi nipo hapa napunguza stress za dunia
Kulia ina ruhusiwa ila usikate tamaa maisha hayajawai kuwa mepesi ata kwa matajiri kaza moyo
All in all sita wafundisha vyote sawa 😄
Happy Easter Day...
Nchi za mashariki mwa bara la Asia kuna falsafa ya kale sana wanayoiamini kuhusiana na muunganiko na mahusiano ya binadamu. Falsafa hii inaitwa Red String Of Fate (Yīnyuán hóngxiàn).
Kwamba, kuna...
Wana Chit Chat!!!
Huu uzi unawekwa hapa kwa malengo mazuri tu kama vile;
1.Kuepusha kuharibu nyuzi nyingine!! Inatokea mara nyingi sana hapa jukwaani,
mistari inashushwa sehemu yoyote ile so...
Wakuu!
Nimeona nyuzi kadhaa na comments kadhaa hapa jukwaani, zikilalamika sana juu ya wanaume kutumia ID za kike ili kupata umaarufu. Wengi wanasema Jf hakuna hii jinsia pendwa ya KE.
Ninaomba...
Ali alipata kidosho kupitia Facebook.
Baada ya mazungumzo, walipanga kukutana katika hoteli. Ali, akiwa na shilingi elfu 20, alimlipia msichana teksi shilingi elfu 6.
Hotelini, msichana aliagiza...
Nilivyomuuliza huoni unapoteza fedha nyingi Kwa MAKATO akasema lengo lake ni kuchukua noti mpya akatunze home.
Ilikuwa kicheko na masikitiko.
Basi namkumbuka Rafaeli, Tukalewa Tukalewa...
Mimi nilianza kuitumia mwaka 2008 enzi hizo unasajili bila NIDA na ndiyo laini yangu kuu mpaka leo yaani takribani miaka 16 sasa!
Ya kwako umeanza kuitumia mwaka gani?
Wanaume wanaweza wakawa marafiki hata mwaka mzima, ila awajuani majina yao
Kwa wanaume, urafiki hujengwa juu ya shughuli za pamoja (shared activities).
Mnaweza kuwa mnakutana maskani kucheza...
Moja kwa moja.
Zamani nilikuwa na mtazamo kuwa kitufe Cha ignore hakina maana na kuweka mtu katika ignored list ni udhaifu ila sasa nimebadili msimamo baada ya kupata kero ya members hao chini na...
Mfungo unaelekea ukingoni, bado siku nne mambo yetu yarudi paanze kuchangamka sasa.
Jibu hilo swali la kwenye kichwa cha uzi au jichagulie jingine hapo chini tupige story!
Hakuna utamu kama...
Ubaya wa kupewa lift ni lazima ucome up na different topics za kudiscuss kama radio presenter. Hufai kukosa content😂
Na lazima u maintain convos muda wote.
Februari 14 sio mbali sana, kama ungepata nafasi ya kumchagua mtu wa kuwa naye hiyo siku ya valentine ila kwa sharti awe member wa Jamii Forums, je?
Ungemchagua nani na ungependa kwenda naye...
Kama Iran hawatalegeza masharti ya upatikanaji wa mafuta, tunakoelekea siku 60 zijazo magari yetu tutayageuza kuwa mabanda ya mifugo tu.
Safari ya kutoka sehemu moja kwenda kwingine itakuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.