JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Nikisoma uzi wake huwa napata faraja na pia ushauri.kwa kwel dada huyu yupo best sana naendelee na huo moyo.I like her stuff so much!So sweet.....
9 Reactions
44 Replies
450 Views
Leo tufurahi kidogo ndugu zanguni wa JF ,em tupia kisa chako ulichowahi kukumbana nacho au kushuhudia hata kwa rafiki yako kutokana na matumizi ya kuberi 😂.
3 Reactions
59 Replies
697 Views
Credit ya Video: Jimbo Media
2 Reactions
14 Replies
213 Views
Katika maisha ya sasa, watu wengi wamejikuta wakitumia muda mwingi kwenye kazi, biashara, au internet kiasi cha kusahau afya zao, familia, mahusiano, na muda wa kupumzika. Wengine wana pesa lakini...
6 Reactions
4 Replies
131 Views
Methali gani unaona imepitwa na wakati na ipi ilikuwa mbele ya muda yaani inafaa hata sasa? Mfano mie naona aliye Juu mngoje chini kama imepitwa na wakati maana asiposhuka itakula kwako,
6 Reactions
55 Replies
551 Views
JF kuna warembo wa maana wenye akili na personality ya kuvutia, Kwakua JF wengi hawaweki picha zao mimi nina wa judge kwa kutumia vigezo hivyo. na Top 10 yangu ni hii: 1. Sister Abigail 2...
22 Reactions
149 Replies
2K Views
Nimetoka zangu kwenye mihangaiko ya hapa na pale, nikaingia bandani nikachukua mayai mawili kutoka kwa kuku wangu wa kienyeji, nikayachemsha na kuyafanya kitafunwa na chai yangu ya kahawa, huku...
9 Reactions
101 Replies
890 Views
hata yeye mwenyewe ShesRise_1 hawezi watu wote waelewe mapema kwamba kuna baadhi ya mioyo ikikutana, hata dunia ikijaribu kuzitenganisha hushindwa. Mimi na yeye hatukuunganishwa na bahati, wala...
12 Reactions
165 Replies
2K Views
Inaonekana kuwa mbaya ni kigezo kimojawapo cha kupata mafanikio. Kama una mbinu yoyote inayoweza saidia mtu kuwa mbaya, mbinafsi na mnafiki, mbinu zitakazo mfaidisha na kumuepusha na madhara ya...
5 Reactions
22 Replies
309 Views
Nimewamiss wanajukwaa. Njooni tubadilishane mawili matatu, jichagulie swali hapo chini tupige story! Je wajua kwamba wanawake wana kiungo kimoja mwilini ambacho kazi yake ni kusikia raha tu na...
15 Reactions
803 Replies
7K Views
Bata batani, wana wa stress free zone Don't take it personal... Wala usichukulie wahusika wa mada hii ni watu wa nyodo wenye nazo na wanaopenda show off... La hasha... Hata wewe ni sehemu ya mada...
31 Reactions
1K Replies
97K Views
1. Wahaya. Wapo vizur kichwani yaan shule inapanda. Wana mvuto, Papuch zao laini Hawanyimi ukienda vizuri Wanaweza kutoa papch kwa miadi ya pesa. Are mostly black beaty na maumbo mazuri Selfish...
18 Reactions
216 Replies
71K Views
Time is "makangability" (Time is making ability) Waswahel wanasema WAKATI UKUTA na Jr anasema WAKATI SI MILELE Kuna udumavu mkubwa kwa wakongwe.. Age go.. Natumai udumavu huo ni huku tu JF na...
15 Reactions
113 Replies
1K Views
Kawaida usiku huchukuliwa kama muda wa mapumziko muda wa kuipumzisha akili na ubongo ambao pengine umefanya kazi kutwa nzima Ukiacha wale wenye shift za usiku madaktari, wauguzi, walinzi, na...
12 Reactions
110 Replies
765 Views
Heshima kwenu moderators wa jamii forum, bila kuzunguka sana mimi raisi wa ma jobless pro max naomba ulinzi wenu siku ya leo humu jukwaani. Ni kweli naipenda timu ya aArsenal ila inanitesa sana...
14 Reactions
130 Replies
1K Views
Saivi ni mida ya kwenda kunywa bia na kidar pembeni. Hivi unaenda mwenyewe ama kuna mtu anakpa kampani.
4 Reactions
28 Replies
274 Views
Mada spesheli ya vijana Mambo vipi machalii wa jukwaani na wale warembo wanaosubiri PM (Private Messages) kwa hamu! Hivi karibuni nimekaa nikakumbuka ile tamthilia ya tangu enzi zile isiyoisha...
5 Reactions
74 Replies
731 Views
Kila mmoja anapenda kuwa tajiri, na hii inatokana na faida nyingi uzipatazo pale unapokuwa tajiri. Na unapozungumzia utajiri, unazungumzia kumiliki rasilimali fedha, watu, majengo, mashamba...
5 Reactions
39 Replies
456 Views
Mtaani kuna jamaa kaoa mwaka jana na kweli toto si toto. Nyash kama lote kwa ujumla ni wale warembo waloumbwa wakaumbika. Sasa siku ya kwanza kumuona kweli shetani na miguu yake akanikanyaga...
0 Reactions
4 Replies
201 Views
Fedha inahitaji ulinzi sana Sio ule wa bank NO.
3 Reactions
18 Replies
253 Views
Back
Top Bottom