Nani arithi nini JF.. Nani arithi mikoba ya nani JF?

Nani arithi nini JF.. Nani arithi mikoba ya nani JF?

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
371,551
Reaction score
860,698
Time is "makangability" (Time is making ability)

Waswahel wanasema WAKATI UKUTA na Jr anasema WAKATI SI MILELE

Kuna udumavu mkubwa kwa wakongwe.. Age go.. Natumai udumavu huo ni huku tu JF na si mpaka pale kwenye pepo ya dunia😭

Wahenga walisema.. Fainali uzeeni... Ujana maji ya moto... Sasa yameshapoa😩 hakuna kusimama dede tena! Inaogofya sana sana!

Anyway tuna damu changa.. Very active!
Nani ungependa kurithi mikoba yake!šŸ˜€
Nani ungependa kurithi "tabia zake"🤣
Nani ungependa uwe reincarnation yake!

Kumbuka.. perception creates reality.....šŸ”„
0002391f-18c3-4fd4-9f22-6b221e97c674.jpeg
 
Back
Top Bottom