Leo unatoka out na nani?

Leo unatoka out na nani?

494925.jpg

Ngoja niamke kwanza...
Umesema out ni lazima uwe na mtu eeeeh
 
Saiv n mida ya kwenda kunywa bia na kidar pembeni.hivi unaenda mwenyewe ama kuna mtu anakpa kampani.

Sahihi. Huu ndio muda sasa.
tushakula tumeshiba.

Kuna wana naenda kukutana nao.
Ni Bia, soga na mipira.
ila ado ado leo j2 sio ya kuvesha sana.
 
Ile dela ndio la mtu wako wa kutoka nae out, au ndio unalojifunikia 😁😁
Kuna wadada jf wameanza nifata pm mkuu et oooh naona una kapeti la nyasi.

Mara tumependa pazia lako
Yaaani shobo kibao mkuu ila msimamo wangu ule ule aiseee
415531.jpg
 
Uwongozi kuna mchezo sijapenda kila nikituma baadhi za ujumbe zinaambatanika na picha hii haijawa sawa kwangu sijui shida nini wakuu
415526.jpg
 
Back
Top Bottom