ivi niaje pale chelsea kila akija striker wa ukweli kum-replace drogba, anafulia mbaya toka enzi za chevi,nawasiwasi drogba yuko kiafrika zaid a.k.a kaaga kwao
Mwalimu aliwaambia wanafunzi wake wachore picha ya mnyama tembo.Wanafunzi walijitahidi kuchora hiyo picha kwa ustadi tofauti isipokuwa john alichora nukta tu.Mwalimu alipomfikia kukagua picha yake...
Muunini alienda kuungama kwa Padri, maungano yalikuwa hivi, Muumini: nakuungamia mungu wangu nawe Padri wangu kwa kuwa nimetenda dhambi, dhambi zangu ni hizi, nimehifadhi picha za ngono kwenye...
how mothers deliver a baby from little girl point of view, nakumbuka mama yangu aliniambia watoto wanapatikana baharini kwa hiyo yeye alienda kumuokota mdogo wangu.
na Salehe Mohamed
HOFU kubwa imezuka ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) baada ya hatua ya uongozi wa chama hicho kuwapa muda wa siku 90 wanachama wanaotuhumiwa kwa ufisadi.
Sasa baadhi ya...
Wana Jamii!
Kama kawaida CCM imeendelea kupoteza mvuto mbele ya wananchi, hii nimelishuhudia jioni ya leo hapa ZANZIBAR, ambapo alikuwa anakaribishwa katibu mkuu mpya pamoja na naibu katibu wake...
Gazeti la Jamba Leo limeendelea kutoa ushuzi; na katika hali inayoonesha ni kukuza mambo kinafiki na kishabiki, gazeti hili la propaganda za UVCCM limeibuka na habari yenye headline ambayo...
Mvuta bangi karudi nyumbani siku moja kampata mkewe
kitandani na chupi ya mkanda mmoja tu kwa
nyuma(G-string) Jamaa kaangua kicheko hadi mke akaamka
na kumuuliza, 'Wacheka nini?' Akamjibu...
Unamsindikiza mama yako stand kupanda gari anaenda
likizo kwao, unarudi nyumbani unamkuta baba yako
anafanya mapenzi na house girl wenu!!! hebu niambie
utafanya nini hapoooo.......
A Nigerian man who makes caskets was on his way to deliver one of the
coffins when his car broke down.
Trying not to be late, he put the coffin on his head and began heading to
his destination...
'Twas the night before Christmas, when all through the house Not a creature was stirring, except Papa's mouse. The computer wholesale electronics was humming, the icons were hopping, As Papa did...
University students waliingia kwenye quiz ya kuongea,two friends ambao walikuwa wakisaidiana walikubaliana aingie mmoja ambaye yuko vizuri kichwani ili akitoka ammezeshe mwenzie.
Kwakuwa...
Nimesikia eti huko Tanga kuna pub moja maarufu kwa kuuza kitimoto inaitwa hatutajani majina pub na hii ndo slogan ya wateja wake wote.Kwa wale ndugu zetu wa huko tanga,hizi habari ni za kweli?na...
Wana JF, napenda kuwafahamisha kuwa sasa wasomi wetu wanaanza kuja na mwelekeo tofauti na tunavyoweza kudhani. Spika wa Bunge la chuo kikuu cha Dar es salaam Daruso ambaye amemaliza muda wake...
Mama Chipoku kamuuliza baba Chipoku mbona vinyago unachonga vizuri sana lakini watoto wako wana sura mbaya sana? Baba chipoku akajibu Vinyago nachonga nchana na watoto nachonga uchiku.
kuliombea taifa kila mtu anawajibu huo mimi huwa naliombea na sina kanuni kuwa leo nitasema nini mfano sasa nasema hivi
`BABA YANGU WA MBINGUNI ULIENIUMBA MIMI NA WATANZANIA WENZANGU, NA UMETUUMBA...