The Prophet
JF-Expert Member
- Mar 17, 2011
- 682
- 94
Gazeti la Jamba Leo limeendelea kutoa ushuzi; na katika hali inayoonesha ni kukuza mambo kinafiki na kishabiki, gazeti hili la propaganda za UVCCM limeibuka na habari yenye headline ambayo inaonekana ni kutaka kutaharukisha jamii.
hata hivyo habari hiyo haijanikuna kabisa kwani haina tofauti na habari ya kitapeli iliyopewa umaarufu usiostahili ya "CCM kujivua gamba".
Nawashauri wahariri wa Jamba Leo wawe waangalifu na headline za kutafuta umaarufu, kwani wakiendelea, gazeti lao litafulia kama yalivyofulia Mtanzania na Rai.