Unamsindikiza mama yako stand kupanda gari

kilimasera

JF-Expert Member
Joined
Dec 2, 2009
Posts
3,068
Reaction score
277
Unamsindikiza mama yako stand kupanda gari anaenda
likizo kwao, unarudi nyumbani unamkuta baba yako
anafanya mapenzi na house girl wenu!!! hebu niambie
utafanya nini hapoooo.......
 
Ukiona hvyo ujue ndo mchezo wao, co kwamba ndo wameanza, daaaa! Ila pagumu hapa cz utamwambia nini baba akuelewe? Itabidi ukubaliane na hali halisi... Mwambie anachofanya co kizuri cz anamzalilisha mama yako kwa kutembea na h' g, km vp atangaze ndoa ili awe bi mdogo.

hahaaaaaaaa labda inawezekana walikua na internal conflict na mother ndio maana akaamua kutuliza hasira zake

Unapotezea tu! kwanini naye hakumsindikiza mpenz wake? huyo atakuwa malaya!
 
madingi wakishafikia age fulani mapenzi hua yanapungua kwa wake zao ndio maana hata kusindikiza mkewe anaacha au kutembea pamoja barabarani wanaacha wakiwa pamoja mmoja anatangulia mbele
Unapotezea tu! kwanini naye hakumsindikiza mpenz wake? huyo atakuwa malaya!
 
Unamsindikiza mama yako stand kupanda gari anaenda
likizo kwao, unarudi nyumbani unamkuta baba yako
anafanya mapenzi na house girl wenu!!! hebu niambie
utafanya nini hapoooo.......

Utaendelea kumheshimu baba.
Na kuanza kukubali nafsini kwako kwamba House girl ni Mama yako mdogo!!
 
never siwezi hata siku moja kukubali hg akawa mama mdogo huyo nitaona tu kama hawala wa dingi
Utaendelea kumheshimu baba.
Na kuanza kukubali nafsini kwako kwamba House girl ni Mama yako mdogo!!
 
hahaaaaaaaa labda inawezekana walikua na internal conflict na mother ndio maana akaamua kutuliza hasira zake

utetetez wa kiume
hasira zako ukimdo haus gal ndo ztatoka?
ahh apo apo sm kwa bmkubwaaaa.....ebu fanya urud home kuna pbm...then namwambia haus gal ajisemeleee mwenyewe
mimi stasema kitu bt ntamwambia tu mama mwulize dada analo lakukuambia.
afu apo apo naenda kumuomba baba ela za matumizi tena nyingiiiiiiiii najua tu atanipa apo apo
 
rose1980 mzee akijua kua wewe ndio umesema atawatimua wewe pamoja na mama au la atapoteza kabisa kujiamini always atakua mpole sana mie naona cha muhimu usimwambie mama ila mfuate mzee mwenyewe umwambie pia mwambie kua hutamsemea kwa mama

akhu mi sisemi kwa mama
namtaka haus gal ajiseme mwenyewe tena nampa masaa km sa 5 naondoka namwambia nkirud sa 10 nataka taaarifa iwe imemfikia mama
 
...duh hapo ntammind Hg kwann kampa na mdingi wakti mie ndo mapooze yangu ntafanya hivyo ila na baba ajue kuwa tunakula sahan moja aache
 
kugonga ishu moja na dingi hiyo kali mwanangu haifai bora wewe ujitoe mapema
...duh hapo ntammind Hg kwann kampa na mdingi wakti mie ndo mapooze yangu ntafanya hivyo ila na baba ajue kuwa tunakula sahan moja aache
 
Unamsindikiza mama yako stand kupanda gari anaenda
likizo kwao, unarudi nyumbani unamkuta baba yako
anafanya mapenzi na house girl wenu!!! hebu niambie
utafanya nini hapoooo.......

Ndo ujue kuwa taxi sio aina ya gari bali ni huduma inayotolewa na hilo gari. Huyo baba yako ni kicheche yaani hakungoja hata mkewe afike mbali !? Swali la kujiuliza, je safari ya mkewe ingekuwa imeahirishwa ingekuwaje ?
 
Ha ha ha ha namwambia ding aendelee kula mzigo lakini anipe hela nisimsemee kwa madha. Siwez kumwambia maza asije akafa na presha
 
Back
Top Bottom