Padri na Muumini

Padri na Muumini

Mshume Kiyate

JF-Expert Member
Joined
Feb 27, 2011
Posts
6,764
Reaction score
908
Muunini alienda kuungama kwa Padri, maungano yalikuwa hivi, Muumini: nakuungamia mungu wangu nawe Padri wangu kwa kuwa nimetenda dhambi, dhambi zangu ni hizi, nimehifadhi picha za ngono kwenye simu yangu na pia nina sms za matusi kwenye simu yangu. Padri akamwambia Muumini kwa sauti ya chini NIFOWARDIE..
 
Thatz great!!!
 
duuu! padri anapenda ngono huyo
 
Hayo ndiyo maisha maana wachunga kondoo hawa wanapata challenges zaidi hata ya koondoo wenyewe
 
Attachments

  • cartoon kanisani.jpg
    cartoon kanisani.jpg
    36.2 KB · Views: 108
sio vyema kudhalilisha Mapadri kwa namna hii.Hata Masheikh pia
 
dah utani mwingine bana unanipa raha kweli, asante mkuu bahati mbaya senks imeondolewa ngoja nikuLIKE
 
Back
Top Bottom