Mkutano wa kumpokea katibu na naibu wake CCM wadorora

Manyanza

JF-Expert Member
Nov 4, 2010
9,482
14,348
Wana Jamii!
Kama kawaida CCM imeendelea kupoteza mvuto mbele ya wananchi, hii nimelishuhudia jioni ya leo hapa ZANZIBAR, ambapo alikuwa anakaribishwa katibu mkuu mpya pamoja na naibu katibu wake . Kama kawaida watu waliohudhuria walikuwa ndani ya Jezi za njano na kijani wengine ni wakina Mama na Vijana under 18, na magari ya kuwabeba maarufu kama Chai Maharage yalikuwepo yalikuwa yanafanya kazi ya kubeba watu kutoka shamba na kuwaleta mjini kwenye viwanja vya Michenzani na inasemekana watu waliohudhuria wamelipwa ili ionekana CCM inakubalika baada ya kujivua GAMBA, ingawa sikujua kimezungumzwa nini maana nilikuwa natokeaa Dar, nimekuta ndio shughuli inakaribia kuishia na watu waliokodiwa magari wanaanza kugombania kuingia, niliuliza watu kama wanne kilickokuwa kinaeendelea pale ndo wakaniambia kama nilivyowasilisha hapo juu. Kama kuna wenye habari zaidi watujuze
 
....Hayo tunayategemea sana,na bado sasa watabakia na wenye njaa tu..
 
Wanatapatapa hao...bakora tulizowachapa mara hii lazima waumie watabaki na vitoto vya under18
 
Hivi hizi pesa za kusombea watanzania na kulazimisha waende kwenye Madisko ya CCM zimetoka wapi? au ndio kodi zetu zinachakachuliwa?
 
chama hikini chakavu sana...wanatakiwa wafante overhaul ya engine sio kubadilisha oil seal halafu wanasema engine imekuwa mpya
 
Walikuwa na mazoea ya kusomba watu na malori nadhani watu wamewachoka sasa!

Walianza na Malori yakaja Costa na Chai Maharagwe, itakuja Bajaji, Pikipiki na mwisho kukizika Chama kwa matembezi ya lazima. Mafisadi mmeishiwa fungasheni vifurishi vyenu na mjitaarishe kwenda Jela pindi Dola itakapo chukuliwa na Wazalendo wenye nchi yao
 
Watanzania wameanza kuelewa kuwa maadui wa taifa ni wanne akiongezeka THITHIEMU
 
hadi zanzibare kwenye ngome za ccm na cuf?
this is a joke

Huwezi amini mkuu...
Ni bora mgeni rasmi angekuwa maalimu Seif halafu huyo katibu mkuu na naibu wake wangetambulishwa tu, nadhani watu wangekua na mwitikio. Kwani sasa CUF ni CCM-B nakumbuka wakati wa kampeni Kanga, tshirt na kofia za CUF zilikuwa zinauzwa na watu walikuwa wananunua kama njugu.
 
ccm tupa kule kwenye dustbin hawana maana sn wanatujazia tu mafisadi kila siku,mwanzo ulikuwapo na wategemee mwisho wake
 
Hahahahaha! Propaganda za mchana kweupe! Tumeona watu walivukuwa wengi mkutano wa CCM zanzibar TBC1,ukilinganisha na kijimkutano cha Dr Slaa watu hata 300 hawakufika! Tumeamua kuwa mashabiki hapa JF! Tuendelee kudanganyana!
 
Hahahahaha! Propaganda za mchana kweupe! Tumeona watu walivyo kuwa wengi mkutano wa CCM zanzibar TBC1,ukilinganisha na kijimkutano cha Dr Slaa watu hata 300 hawakufika jana Tabora! Tumeamua kuwa mashabiki hapa JF! Tuendelee kudanganyana!
 
hichi chama ni cha kichina na kiliasisiwa na Mao Tse Tung
Mkuu Umenichekesha Sana Nakumbuka Walivyokuwa wanamhusudu mchina... Ila wakati ule alikuwa mchina kweli kila kitu original Yalikuja hadi ma Magari ya mikaa aina ya Jei Fong.

Sasa mchina ni kama bure na CCM Ni bure..Jk chama kinamfia mkononi
 
  • Thanks
Reactions: LAT
Mkuu Umenichekesha Sana Nakumbuka Walivyokuwa wanamhusudu mchina... Ila wakati ule alikuwa mchina kweli kila kitu original Yalikuja hadi ma Magari ya mikaa aina ya Jei Fong.

Sasa mchina ni kama bure na CCM Ni bure..Jk chama kinamfia mkononi

na suti za choi Lai.... wachina wa siku hizi wameshakiharibu hiki chama..kilakitu ni fake au fongkong ....
 
Back
Top Bottom