how mothers deliver a baby from little girl point of view

Viper

JF-Expert Member
Dec 21, 2007
3,667
1,400
how mothers deliver a baby from little girl point of view, nakumbuka mama yangu aliniambia watoto wanapatikana baharini kwa hiyo yeye alienda kumuokota mdogo wangu.

Last edited by a moderator:
Mtoto alimwuliza mama yake:
Mtoto: "Mama uliponizaa ulipofungwa jela siku ngapi?"
Mama: Kwa nini?
Mtoto: Si ulisema uliponizaa ulijifungua?
 
Dogo mmoja wakati kamuoma mamake ana mimba kamuuliza mama hivi mbona umefura tumbo? Mama kajibu huyu alie ndani ni ndugu yako..keshoye dogo alipoenda shule mwalim nae akamuuliza hivi dogo uko na nduguyo nyumbani? Dogo akajibu yupo lakini mama keshamla.
 
hehehe... hii kali
 
Back
Top Bottom