Methali za Kihindi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Methali za Kihindi

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by BelindaJacob, May 17, 2011.

 1. BelindaJacob

  BelindaJacob JF-Expert Member

  #1
  May 17, 2011
  Joined: Nov 24, 2008
  Messages: 6,060
  Likes Received: 475
  Trophy Points: 180
  KIJANA WA KIDOSI BAADA YA KUMALIZA TUITION YA KISWAHILI, ANAJIBU IFUATAVYO:


  (1) Mfa maji?… tampa life jacket hiyo.
  (2) Mwenda pole?…tachelewa fika hiyo.
  (3) Usipoziba ufa ?…mizi taona mpaka dani.
  (4) Usilolijua?…uliza google.com.
  (5) Mbio za utelezini?…chafua guo yako.


  (6) Ukipenda boga?…ngoja mezi ya ramzani tapata.
  (7) Ukiona vinaelea?…iko nyepesi hiyo.
  (8) Maji yakimwagika?…mambie dada ta-deki.
  (9) Chelewa chelewa?…takosa guo ya sikukuu…..
  (10) Kila ndege .....? Hutua Airport


  (11) Bandu bandu ....? Hiyo Rafiki yake Juma hiyo
  (12) Mtaka cha Mvunguni ....? Sharti Bindua tanda
  (13) Simba mwenda kimya .....? Kama sio gonjwa khanisi
  (14) Aisifuye mvua ....? Mkulima
  (15) Barabara ndefu ....? Ongeza mwendo, tachelewa fika


  (16) Mlanawe hafi nawe ila .....? Takimbia
  (17) Asie sikia la mkuu ....? Mkuu tapeleka jela
  (18) Hasira za mkizi ....? Tatafuna yeye
  (19) Mchamba wima ....? Karibu ya Hurumzi
  (20) Akumurikae mchana ....? Kipofu


  (21) Mficha maradhi ....?Taenda Loliondo
  (22) Mkataa wingi ....? Taenda Chadema
  (23) Bendera ....? Kama sio ya CCM, ya CUF
  (24) Baniani mbaya ....? Sio kweli, naonea tu
  (25) Akili nyingi ….? Tapasi mtihani
   
 2. Trustme

  Trustme JF-Expert Member

  #2
  May 17, 2011
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 1,172
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  That was so fun
   
 3. Lukansola

  Lukansola JF-Expert Member

  #3
  May 17, 2011
  Joined: Sep 5, 2010
  Messages: 5,456
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  Belinda naona umemaliza zote
  Acha ni edit hiyo ya simba mwendapole

  Simba mwendapole? kama haiko gonjwa iko senge dani yake
   
 4. Gagurito

  Gagurito JF-Expert Member

  #4
  May 17, 2011
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 5,610
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  teh! teh! Nimeipenda hii mkuu!
   
 5. BelindaJacob

  BelindaJacob JF-Expert Member

  #5
  May 18, 2011
  Joined: Nov 24, 2008
  Messages: 6,060
  Likes Received: 475
  Trophy Points: 180
  He he..kijana una hatari,lol...subiri 'hindi' akusikie:))
   
 6. Lukansola

  Lukansola JF-Expert Member

  #6
  May 18, 2011
  Joined: Sep 5, 2010
  Messages: 5,456
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  Mi simo we ndo umeanzisha Belinda
   
 7. Mshume Kiyate

  Mshume Kiyate JF-Expert Member

  #7
  May 18, 2011
  Joined: Feb 27, 2011
  Messages: 6,774
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Imetulia
   
 8. Lady N

  Lady N JF-Expert Member

  #8
  May 19, 2011
  Joined: Nov 1, 2009
  Messages: 1,919
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  HIYO NA 13, Kafungwa na yanga huyo!!!
   
 9. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #9
  May 19, 2011
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,469
  Likes Received: 4,128
  Trophy Points: 280
  wakikusikia....!!
   
 10. BelindaJacob

  BelindaJacob JF-Expert Member

  #10
  May 20, 2011
  Joined: Nov 24, 2008
  Messages: 6,060
  Likes Received: 475
  Trophy Points: 180
  He he..Yebo Yebo hao, kiboko yao Simba..akiifunga Simba kaotea:))
   
 11. BelindaJacob

  BelindaJacob JF-Expert Member

  #11
  May 20, 2011
  Joined: Nov 24, 2008
  Messages: 6,060
  Likes Received: 475
  Trophy Points: 180
  Mie Simooo!!..unakumbuka 'kuruka' yani kukataa kata kata hujasema au huhuusiki na kitu!..ha ha
   
 12. U

  Ulimakafu JF-Expert Member

  #12
  May 20, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 17,982
  Likes Received: 729
  Trophy Points: 280
  Usipite mitaa yao ya Kisutu.Labda ubadili avatar,teh teh teh......
   
 13. BelindaJacob

  BelindaJacob JF-Expert Member

  #13
  May 20, 2011
  Joined: Nov 24, 2008
  Messages: 6,060
  Likes Received: 475
  Trophy Points: 180
  Kisutu napitaga na dira au buibui, napaelewa vizuri..lol
   
Loading...