Kauli hii ya Dr Slaa ni utabiri au nini?

Joblube

JF-Expert Member
Mar 4, 2011
369
151
Wakati wa kampeni ya uchaguzi wa mwaka jana Dr Slaa alisema kuirudisha CCM madarakani ni sawa na kujitafutia maafa. Hali inavyokwenda sasa Serikali imepigika, wananchi wamepigika. Mnaionaje kauli yake hii jamani ?
 
Utabiri umeshatimia, ndio maana hata majimbo mengi yaliyochagua wabunge wa CCM wameshaanza kuwachoka mapema kabisa.
 
Wakati wa kampeni ya uchaguzi wa mwaka jana Dr Slaa alisema kuirudisha CCM madarakani ni sawa na kujitafutia maafa. Hali inavyokwenda sasa Serikali imepigika, wananchi wamepigika. Mnaionaje kauli yake hii jamani ?

My opinion:Kiona mbali huyo bana Joblube
 
Kwa upepo ulivyo ****** anaweza asifike 2015.
Watanzania wanauawa kama wanyama, hii haijawahi kutokea tangu utawala wa serikali ya awamu ya kwanza mpaka serika ya zama za uwazi na ukweli. madini yetu yanachimbwa na hawa maumbwa koko tukidai tunapigwa!

Kuna kila dalili ya mapinduzi kutokea Tanganyika sooner than later.

Freedom is coming!
 
Sio utabiri, kulikuwa na viashiria vingi sana ambvyo hata mtu asiyekuwa na akili timamu angejua tu kama nchi itakuwa hivi ilivyo kwa sasa. Labda na mimi niseme kwamba kutokana na viashiria vilivyopo sasa hali ya maisha ya watanzania itazidi kuwa mbaya sana na kwa kuanzia mgao wa umeme umeanza leo baada ya kuelezwa mipango mingi saaaana ya kumaliza tatizo hili. Hili ni pigo kubwa sana kwa wajasilia mali wanaotegemea umeme kuendesha maisha yao.
 
Kwa upepo ulivyo ****** anaweza asifike 2015.
Watanzania wanauawa kama wanyama, hii haijawahi kutokea tangu utawala wa serikali ya awamu ya kwanza mpaka serika ya zama za uwazi na ukweli. madini yetu yanachimbwa na hawa maumbwa koko tukidai tunapigwa!

Kuna kila dalili ya mapinduzi kutokea Tanganyika sooner than later.

Freedom is coming!

kweli mkuu kuna kila dalili ya wananch kuchoshwa na longolongo za watawala n.b sio viongozi. Yaliyotabiliwa yatatimia soon subiri apatikane wa kumfunga paka kengere,utajione uhuru wa kweli tunaolilia ukipatikana huku tukiwapeleka wabadhilifu wote mahakamani,ambao kwa sasa list inaongeza kila uchao.
 
Slaa hakutabiri bali alieleza yale aliyoyaona na jinsi CCM wanavyojipanga kuifilisi nchi hii, kwani miongoni mwetu nani hajui hilo?? Mateso yataendelea kadiri CCM itakavyokaa madarakani
 
-Kwa sasa Watumishi wa serikali wanakula mishahara ya mikopo toka mabenki ya biashara.
-Miradi mikubwa yote ya ujenzi mabarabara imeshasimama.
-Bei za mafuta ndiyo hizo.

Na Mimi NATABIRI sasa kuwa kutokana na ukata huu wa serikali, vyuoni kutakuwa na migomo na maandamano mingi sana kutokana na usanii utakaofanywa na HELSB, maana lazima pia watakuwa wamepigika.
 
nami ngoja nitabiri kwa hali ya kukopa salary jk atajisingizia ugonjwa aachie ngazi ili makamu wake aibike kwa gharika ya mateso inayo kuja
 
Utabiri ulishatimia muda mrefu mkuu,hali ni mbaya sana sasa hivi.Tutaona mengi mwaka huu.
 
I feel like eating Him alive, i doubt if He real sleeps in the state house nowdays otherwise i think this guy spends all the nights with his crew of Sangomas headed by Sheikh Yahya. Thats why he could easily come up with the scheme of shifting our minds over important issues to Loliondo kwa Samunge, I prophesize a time will come He will run dry of all the schemes, and left with the option of surrender his authority of presidency to the Army (before they topple him) till the call out of new election.
 
ilisemwa hatotawala, yani nchi haitotawalika chini yake. kweli yametimia. kiaina Dr. kama anatawala vile.
 
Back
Top Bottom