Hukumu ya haki.

Hukumu ya haki.

Jaguar

JF-Expert Member
Joined
Mar 6, 2011
Posts
3,440
Reaction score
1,029
Kabla ya hukumu ya kesi kuanza,hakimu aliwatazama mawakili wawili wa kambi pinzani,akasema,"nimepewa rushwa na nyinyi wote"."mawakili wote wakapigwa na butwaa".Hakimu akaendelea,"Bwana Leon umenipa milioni 1.5 na wewe Campos umenipa milioni 1.Hakimu akaingiza mkono mfukoni,akatoa cheque ya milioni 5 na kumpa Leon....Sasa nina milioni 1 ya Leon na milioni 1 Campos,nadhani hukumu itakwenda kwa haki!
 
:A S confused::confused2::A S-confused1::A S-confused1::A S-confused1::A S-confused1::A S-confused1::A S-confused1:
 
Kuna wakili alifahamu hakimu wa kesi yao hapendi rushwa na kesi iliwaelemea wao,akamwambia mteja utashinda lakini utaongeza hela.Akachukua milioni 2 na kuziweka kwenye bahasha na kuandika nyuma jina la waliokuwa wanashitakiana na kusukumizia chini ya mlango chumba cha faragha cha hakimu,hakimu kuona vile akakasirika na mteja wa wakili akashinda kesi.
 
bila shaka ulimaanisha cheque ya laki tano. Au hesabu gongana?
 
Back
Top Bottom