Jamaa 1 alikuwa akikojoa kichakani,nyuki akamg'ata kichwa cha kikojoleo,kitu kikavimba kweli,alipofika kwake mkewe akawa anamtoa ule mwiba wa nyuki huku akisali kimoyo;mungu naomba muondolee mme wangu maumivu ila haya maumbile yabaki saizi hii hii, amen!