Hata sijui

Hata sijui

Globu

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2011
Posts
9,322
Reaction score
2,896
Juzi nasikia uliwakatikia watu bar, jana ukamkatikia bosi ofisini, leo umenikatikia mimi chumbani sijui una matatizo gani. Jamani huu UMEME!!!!!
 
Juzi nasikia uliwakatikia watu bar, jana ukamkatikia bosi ofisini, leo umenikatikia mimi chumbani sijui una matatizo gani. Jamani huu UMEME!!!!!
Hahaha! Nilidhani unaongea na mkeo.
 
Kukatikakatika umeme sio habari. Muujiza tanzania ni umeme kutokukatika.
 
ukikutana na muuza madafu utampa jibu gani wakati ukiwa unanunua dafu alafu akakuuliza "Dafu ukatiwe ama uchokorowe"?

kwenye neno uchokerewe,kitenzi ni kuchokoroa na anayetenda mchokoroaji,na anayetendwa yeye vp?
 
Serious, leo umenikatikia nikiingia kwa ofisi

Na unaona ajabu?
Ajabu ni kama umeme haukatiki.
Hayo ndio maendeleo yetu ya kujivunia.
Umeme usio wa uhakika, barabara mbovu mijini na vijijini, magari na madereva wabovu yanayopelekea ajali kila siku, ukosefu wa maji safi na salama, magonjwa kibao, umasikini wa kutupa kwa raia walio wengi.

Sisi wachache, tukiwa tunafanya kazi kwenye NGO au hata BoT na TRA hapo dar na kuvuta mkwanja wa 4M kila mwezi na tukiendesha reconditioned car (tukijidai nalo kama jipya vile) na kutesa na wapenzi wetu mitaani, si ndio maendeleo yenyewe haya jamani?.
 
Back
Top Bottom