Garmii Senior Member Feb 26, 2011 164 19 May 19, 2011 #1 Mlevi 1 alipanda daladala akakaa siti 1 na mlokole,mlokole akaanza kumhubiria yule mlevi; mpendwa mwenzangu unajua unaenda motoni? Mlevi akashtuka na kupayuka; we konda nishushe kumbe huendi kariakoo unatupeleka motoni!
Mlevi 1 alipanda daladala akakaa siti 1 na mlokole,mlokole akaanza kumhubiria yule mlevi; mpendwa mwenzangu unajua unaenda motoni? Mlevi akashtuka na kupayuka; we konda nishushe kumbe huendi kariakoo unatupeleka motoni!