Mtoto wa Mchungaji - Matokeo

Mtoto wa Mchungaji - Matokeo

Masanilo

Platinum Member
Joined
Oct 2, 2007
Posts
22,283
Reaction score
4,556
Nimepokea matokeo ya Mtoto wangu anayesoma St Maendeleo Academy. Nimeona ni wawekee matokeo yake wadau naomba ushauri nimfanyaje huyu kijana?

attachment.php
 
Attachments

  • Mtoto.jpg
    Mtoto.jpg
    54 KB · Views: 523
Hahahhahaha....baba mchungajia pesa ya ada ni kama unatupa jalalani...embu mrudishe kijijini akalime!!
Jeme anajua linavyotumika!
 
Rev basi tu sababu mwalimu anataka mtoto akariri... but logically huyo mtoto kapata maswali.. Nimeipenda ya digestive system inaonesha dogo hygiene haimpigi chenga...lol
 
  • Thanks
Reactions: Obe
Hahahhahaha....baba mchungajia pesa ya ada ni kama unatupa jalalani...embu mrudishe kijijini akalime!!
Jeme anajua linavyotumika!

Wakulaumiwa ni mama hapa kwa kweli!
 
Huyu anafaa kwenda Uni moja kwa moja, mwalimu aliyekuwa anasahihisha hakuwa makini kabisa ilibidi awe ana reason majibu kabla ya kusahihisha:biggrin1::biggrin1:
 
Rev basi tu sababu mwalimu anataka mtoto akariri... but logically huyo mtoto kapata maswali.. Nimeipenda ya digestive system inaonesha dogo hygiene haimpigi chenga...lol

Nimeachwa hoi baada ya kuulizwa Adolf Hitler ni nani.....dogo kachora picha na Moustache
 
Rev basi tu sababu mwalimu anataka mtoto akariri... but logically huyo mtoto kapata maswali.. Nimeipenda ya digestive system inaonesha dogo hygiene haimpigi chenga...lol
Asha D huyu mwalimu ilibidi awe anafanya reasoning kwanza huyu dogo wa kupeleka UNI moja kwa moja:dance::dance:
 
Hey..muchungaji---pereka hii kitu kwa babu roriondo!!
 
Huyu anafaa kwenda Uni moja kwa moja, mwalimu aliyekuwa anasahihisha hakuwa makini kabisa ilibidi awe ana reason majibu kabla ya kusahihisha:biggrin1::biggrin1:

Ngoja nifanye taratibu akasome chuo cha Kata - UDOM
 
eebana Rev,nikuulize,hivi picha wanazi-enlarge vipi after attachment??...nimeshindwa kabisa kuzikiza...kama kuna mtu anajua plz..nimekwama.
 
Asha D huyu mwalimu ilibidi awe anafanya reasoning kwanza huyu dogo wa kupeleka UNI moja kwa moja:dance::dance:

TF huyo mwalimu atakua ndo wale walosoma alafu hawajaelimika..lol (wakinibamba hapa!)... yani kumpa dogo zero na hali anaonesha anapitia vitabu-not fair at all.
 
eebana Rev,nikuulize,hivi picha wanazi-enlarge vipi after attachment??...nimeshindwa kabisa kuzikiza...kama kuna mtu anajua plz..nimekwama.

Hebu lipia hiyo service nikupe shule teh teh teh teh ...!
 
Huyo mtoto kama ameweza kunakili vizuri maswali bila kukosea na kutoa majibu kama hayo, hujapoteza hela yako. Ana akili sana.
1. ameona maswali yanayoulizwa yako chini ya uelewa wake. Alitegemea maswali yenye akili zaidi.
2. maswali yenyewe hayana faida yoyote kwake. ni kwa ajili ya wale wanaokariri. sio kutatua matatizo ya jamii.
 
Ninakushgukuru sana! Kuna mtu alinishauri nimpeleke kwenye Kilimo Kwanza.
 
Hahahaha!!! Halafu Masa nilikuwa sijaona vizuri hako ka-mustache ka Hitler dogo noma sana huyu.
 
Back
Top Bottom