Kama ulienda shule jibu hili swali!

Kama kweli wewe elimu yako sio ya kuuunga unga, ebu nisaidie swali hili.

Badili sentensi ifuatayo kwa kiingereza,

BABA mimi mtoto wako wa ngapi??

Dady,which seniority I possess among your children?
 
Duh! hii ni kiboko, si mchezo lakini nitajaribu.

Dady, which number am I among your children?
 
Kama kweli wewe elimu yako sio ya kuuunga unga, ebu nisaidie swali hili.

Badili sentensi ifuatayo kwa kiingereza,

BABA mimi mtoto wako wa ngapi??

inakuwaga ngumu kutafsiri kiswahili kwenda kiingereza moja kwa moja nionavyo mimi ni-Dady, of your children, what is my birth order?

Dady, of my siblings, what is my birth order?
 
Duuuuuuh freetown asante sana infact mimi pia ilinitolea nje but naona kuna wadau hapo juu wanafanya vizuri
 
Muh! Inaumiza midula kidogo, but ngoja nijaribu. "father, which seniority am I belong within your children?"
 
Kama kweli wewe elimu yako sio ya kuuunga unga, ebu nisaidie swali hili.

Badili sentensi ifuatayo kwa kiingereza,

BABA mimi mtoto wako wa ngapi??

I lreally like this. Haya ni mambo madogo madogo but they keep us think critically. Sio maswala ya sijui nani kaachika sijui nani kafumaniwa. Hadhi ya jukwaa inatakiwa kuwa maintained jamani. Naona majibu yashatolewa
 
mimi baba yangu ni mkali sana, huwezi kumuuliza swali kama hilo kwani utajitafutia makubwa.

Ila kwa msaada kwa wengine unapaswa uulize hivi:-
Father, how many number of me for your children? (hii ndio namna sahihi zaidi kuliko waliojibu hapo juu)
 
Dady' how many are my elders and youngs in your childre
n?
 
Kama kweli wewe elimu yako sio ya kuuunga unga, ebu nisaidie swali hili.

Badili sentensi ifuatayo kwa kiingereza,

BABA mimi mtoto wako wa ngapi??

ndugu Sekulu,iyo sentensi nliiweka hapa jf miezi2 iliyopita na hamna aliyeiweza ,wadau wakasema mengi,ikiwemo kuwa eti hata mzungu haijui maana wao uzaa mtoto m1 au wawili tu! Anyway labda wanajf wameshapa jibu,ntakuwa msomaji tu!
 
inakuwaga ngumu kutafsiri kiswahili kwenda kiingereza moja kwa moja nionavyo mimi ni-Dady, of your children, what is my birth order?

Dady, of my siblings, what is my birth order?

du! Hapa si umesema: baba wa watoto wako,utaratibu wangu wa kuzaliwa ni upi? Alafu ya pili ukasema: baba wa wa wadogo zangu,upi ni utaratibu wangu wa kuzaa/kuzaliwa? Lugha hii jaman,ebu niache utundu nsijeng'oka meno!
 
umeona eehh? Mimi tu ndo nimepatia.
 
Back
Top Bottom