Maungamo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Maungamo

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by Kifuniko, Jun 8, 2011.

 1. Kifuniko

  Kifuniko Member

  #1
  Jun 8, 2011
  Joined: May 20, 2011
  Messages: 99
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Muumini kaenda kwa padri kuungama dhambi zake,
  Padri: Umefanya kosa gani mpaka umekuja hap kuungama
  Kondoo: Nimekua nikichat meseji za matusi na wake za watu
  Padri : Sauti ya chini kabisa nifowardie kwanza kabla hujazifuta
  Kondoo: Ha ha ha
   
Loading...