Mentor
JF-Expert Member
- Oct 14, 2008
- 20,334
- 23,941
Sijui kama ni wote tulikuwa na babu wenye vituko hivi..ila mi babu yangu alikuwa amewazidi wote..
Mzee Nyela aliitwa...
siku moja kasafiri kaenda Mombasa. kurudi akaja na chumvi ile ya mabonge..
akawaita wamama wa jirani akawaambia ana chumvi kali sana na nzuri from Mombasa.
Walipokuja ikabidi awape darasa jinsi ya kuitumia maana matumizi yake ni tofauti na chumvi walizozoea.
Akaanza;
"(kwa kichagga) Chumvi hii ni kali sana, yani kuitumia inabidi uipake mikononi ndo uanze kumenya ndizi. USIjaribu kuiweka kwenye chakula direct..maana utaachika kwani chakula kitakuwa na chumvi sana. Na hata ukimaliza kumenya, inabidi uzioshe sana kwa maji.."
Basi, wamama wa watu wakanunua chumvi ya mzee...wacha usiku aanze kusikia wamama wa watu wakilia kwa vipigo..kisa: chakula hakina chumvi!!!!
Huyo ni babu yangu..babu yako alikuwa na vituko gani unavyokumbuka?!