Panya Na Nyoka..panua mbavu.

Panya Na Nyoka..panua mbavu.

fundiaminy

JF-Expert Member
Joined
Jun 4, 2009
Posts
354
Reaction score
52
Basi wakati mmoja panya katika pitapita zake mwituni alimkanyaga nyoka kwa bahati mbaya.Ikabidi panya aombe msamaha na kumwambia nyoka pole.nyoka akamjibu pole ya nini? Hebu kione.kitoto kidogo madevu kibao mwili mzima..panya akacheka sana na kumwambia nyoka na wewe je? Jitu kubwa na bado linatambaa.ha ha.
 
Dah, mkuu u made my day!! Hii imetulia sana
 
Kitoto kidogo midevu kibao mwili mzima!!! tehe tehe
 
huyo panya bila shaka ni Jerry tu.teh teh
 
Back
Top Bottom