Binti na mama mkwe

Binti na mama mkwe

sulphadoxine

JF-Expert Member
Joined
Nov 1, 2010
Posts
2,257
Reaction score
649
MAMA MKWE:Heee wee binti huyu mtoto mbona hafanani na kijana wangu?

BINTI:Mama samahani huku chini nina njia za uzazi na sio machine ya photocopy!

MAMA MKWE:mmhhhhhhhhhhhh!
 
Safi sana na kama ningekuwa mme m2,na nikasikia anampa mama madonge hayo,Ningempa zawadi ya ushindi usiku huo.
Mhhhhhhhhhhhhhhh sijui zawadi gani hiyo ya ushindi tena maanaaaaaaaaaaaaaaaa///
 
Back
Top Bottom