hawa jamaa wapo wapi siku hizi

hawa jamaa wapo wapi siku hizi

kilimasera

JF-Expert Member
Joined
Dec 2, 2009
Posts
3,068
Reaction score
277
walikua ni wachekeshaji wazuri sana sijui vimepotelea wapi vipaji hv!!!ni mheshimiwa Pembe na mzee Senga

DSC02238.jpg
 
Mbona wanakimbiza km kawa, sasa hv wapo na kinG Majay majuto.
 
Wachekeshaji wa Tanzania wana-expire mapema sana, sababu ni kuingia katika fani bila kuisomea shule. Unakuta mtu analazimisha kubadilisha sura au sauti ili kuvuta hisia za watazamaji, angalia wenzetu unafikia kucheka kwa maudhui yaliyopo kwenye ujumbe wa msanii.
 
wachekeshaji wa tanzania wanatumia nguvu sana na kuji disfigure ili wakubalike lakini wapi..halafu ubunifu sifuri, wakiona mmoja katoka na staili yake kesho wooooote hukohuko..sioni tofauti ya ze comedy, original comedy wala futuhi....eti woote ni mfumo wa taarifa ya habari...its so boring and not entertaining at all....mara mia mizengwe..!! msipoumiza vichwa mtaishia kuuza sura halafu choka mbayaa....!!
 
Wachekeshaji wa Tanzania wana-expire mapema sana, sababu ni kuingia katika fani bila kuisomea shule. Unakuta mtu analazimisha kubadilisha sura au sauti ili kuvuta hisia za watazamaji, angalia wenzetu unafikia kucheka kwa maudhui yaliyopo kwenye ujumbe wa msanii.

Pembe si graduate?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom