Bangi continued..

Bangi continued..

Mentor

JF-Expert Member
Joined
Oct 14, 2008
Posts
20,334
Reaction score
23,941
Mvuta bangi kavuta zake bangi...tena mchana kweupe.
akawa anarudi nyumbani kumbe katika kutembea, mguu mmoja ukaingia mtaroni akawa anatembea hivohivo.
Kwa hiyo mguu mmoja mtaroni mwingine barabarani.
Polisi kamsimamisha akamwambia, "Wewe unavutaje bangi mchana wote huu?"
Mvutabangi: "sijavuta bangi afande"
Polisi: "Hizo ni bangi, mchana kweupe unatembea mguu mmoja mtaroni mwininge barabarani"
Mvuta bangi: "aisee kweli nimevuta bangi, mi nilidhani ndo nimeshakuwa kiwete hivyo!!!!!"
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom