Hawa mabakhili noma

Hawa mabakhili noma

mwl

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2011
Posts
1,101
Reaction score
914
Baba mmoja wa kichaga aliingia chumbani kwa watoto wake watatu wamelala wamewasha feni namba 5, akafoka na kuwaambia: "ati nini, nyie ni watatu na feni namba 5 kwanini msiweke namba 3?"
 
am going to sleep,.tarudi kesho kutwa
 
Baba mmoja wa kichaga aliingia chumbani kwa watoto wake watatu wamelala wamewasha feni namba 5, akafoka na kuwaambia: "ati nini, nyie ni watatu na feni namba 5 kwanini msiweke namba 3?"
kwa nin ume2mia mzee wa kichaga mkuu?
 
Back
Top Bottom