wake wenye kupenda kujua
now clouds tv wanarudia kipindi cha mtv base
anahojiwa aliko dangote
mnigeria no 51 duniani kwa utajiri
the richest african alive
Sisi midume bana usimue demu kaacha wazi sehemu yake ya mwili, tutaitolea macho hapo khaa....
hasa kwenye daladala demu akiwa amevaa kimini utachungulia mapaja, kitop utaangalia kiunoni.
SASA JE...
Enzi hizo Rais akiwa anafanya ziara watu tulikuwa tunakusanyika barabarani tunampungia mkono.siku hizi wapi bana nani anamuda na misafa ya viongozi.Enzi hizo shule asubuhi tunakimbia mchakamchaka...
A Rolls Royce pulls up in front of a really expensive restaurant and a really rich sheik gets out from it followed by a harem of women, and a rooster. The "party" is escorted to a table and given...
nimeona mara nyingi watu hawajawahi hata kuonana mara moja, lakini siku wakionana tu mmoja anaanza kumuona mwenzake ana ringa.
Au binti anampeleka mchumba kwao ili akajitambulishe, wazazi...
Akikasirika ndio utaona anavyotukana kwa kiinglysh.
Mtu akinitukana kwa makolokocho ambayo siyaelewi wala huwa siumii.
Ila yale matusi ya darasa la pili B kichwa kama boga huwa yananiuma sana.
Hallo wadau.
Katika kukumbushana old kanumba's primary school leo tukumbushane hadithi na vitabu vya k iswahili vya Tujifunze lugha yetu.
Unakumbuka hadithi gani?
Ulipenda wahusika gani na...
kuna jamaa mmoja alipata ajari ya gari kwa bahati mbaya akachanika mdomo,ikabidi akimbizwe hospitali..kufika chumba cha upasuaji akakuta daktari anamalizia kumtahiri mtu mwingine,alipomaliza...
Yuko wapi jamani??
nishakimisssssssss kile kiuno!!!!!!!!!!
room la kulala mwanaume nk
au kajifungua?
au yuko safarini?
au ndo au?
mwambieni ajitokeze jamani niwe napoteza mafeelings!
This is a test for Smart People.....I have determined that you qualify. The following short quiz consists of 4 questions and will tell you whether you are qualified to be a...
Today is when your man will be needing you the most
After a humiliation that he will never forget in his lifetime. (8-2 defeat)
Do him a favor and do it for love
Buy him some beer and show up...
Jamani natafuta hii cheni,
Ni duka gani hapa Sinza naweza pata hii Cheni jamani.
Natanguliza shukrani na ninawatakia weekend njema madadiito na mamito!!!
Kuna mwalimu mmoja ambae yupo kwenye mafunzo kwa vitendo, kutoka chuo kimoja hapa tz alietoa kali ya mwezi.
Siku aliokuwa anafanyiwa 'assesment' alichanganyikiwa vibaya mno.
Kaingia class na...
Two men were walking home after a party and decided to ta take a shortcut through the cemetery.Right in the middle of the cemetery,they were startled by a tap-tap-tapping noise coming from the...
Jamaa mmoja ambaye ni mkurugenzi wa kampuni moja kubwa ya mawasiliano alikaribishwa kutoa speech katika tamasha moja la vijana lililokuwa limeandaliwa kuhusu kujiepusha na vitendo vyenye kuweza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.