Sijui ni vyakula tunavyokula...... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Sijui ni vyakula tunavyokula......

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by luckyperc, Aug 26, 2011.

 1. luckyperc

  luckyperc JF-Expert Member

  #1
  Aug 26, 2011
  Joined: Jan 17, 2011
  Messages: 496
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Sisi midume bana usimue demu kaacha wazi sehemu yake ya mwili, tutaitolea macho hapo khaa....
  hasa kwenye daladala demu akiwa amevaa kimini utachungulia mapaja, kitop utaangalia kiunoni.
  SASA JE NIVYAKULA AU NI NINI TATIZO.
   
 2. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #2
  Aug 26, 2011
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,657
  Likes Received: 35,418
  Trophy Points: 280
  Ndo asili ya viumbe wa kiume.
   
 3. luckyperc

  luckyperc JF-Expert Member

  #3
  Aug 26, 2011
  Joined: Jan 17, 2011
  Messages: 496
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  kwa kula chabo?
   
 4. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #4
  Aug 26, 2011
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,451
  Likes Received: 22,404
  Trophy Points: 280
  maumbo kuumbika, mivuto kuvutia, hapo nimepatia
   
 5. tete'a'tete

  tete'a'tete JF-Expert Member

  #5
  Aug 26, 2011
  Joined: Feb 10, 2010
  Messages: 474
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Damu zinachemka ukiona umeona vitu kama hivyo na hujatamani ujue we si mwenzetu....
   
 6. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #6
  Aug 26, 2011
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,451
  Likes Received: 22,404
  Trophy Points: 280
  maumbo kuumbika, mivuto kuvutia, hapo nimepatia hamna chakula wala wali wala sufuria na sinia
   
 7. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #7
  Aug 26, 2011
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,822
  Likes Received: 22,468
  Trophy Points: 280
  unatakiwa umalize haja zako kwa mkeo,kabla hujaanza mishemishe
  itakusaidia
   
 8. luckyperc

  luckyperc JF-Expert Member

  #8
  Aug 26, 2011
  Joined: Jan 17, 2011
  Messages: 496
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  hapo uko sawa kabisaaaa....
   
 9. luckyperc

  luckyperc JF-Expert Member

  #9
  Aug 26, 2011
  Joined: Jan 17, 2011
  Messages: 496
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  kweli kabisa hebu pata picha demu amepiga kimini then akakaa kwenye siti ya tairi miguu akainua unafikiri utafanyaje wewe.
   
 10. luckyperc

  luckyperc JF-Expert Member

  #10
  Aug 26, 2011
  Joined: Jan 17, 2011
  Messages: 496
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  1. hujaoa
  2. umenyimwa unyumba
  3. mkeo kasafiri
  ngale zimejirundika
   
 11. tete'a'tete

  tete'a'tete JF-Expert Member

  #11
  Aug 26, 2011
  Joined: Feb 10, 2010
  Messages: 474
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Sio jambo la kuuliza nitapiga chabo tuuu...kuna na vile vikamba wanatuvalia na unakuta demu anainuka kwenye kiti makusudi vile kama anainama hivi loooh hawa dada ni viboko...
   
 12. luckyperc

  luckyperc JF-Expert Member

  #12
  Aug 26, 2011
  Joined: Jan 17, 2011
  Messages: 496
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  kuna mabakuli.....
   
 13. luckyperc

  luckyperc JF-Expert Member

  #13
  Aug 26, 2011
  Joined: Jan 17, 2011
  Messages: 496
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  mama weehhh hapo ndo sasa mimi huwa sitoi macho.
   
 14. luckyperc

  luckyperc JF-Expert Member

  #14
  Aug 26, 2011
  Joined: Jan 17, 2011
  Messages: 496
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Demu ukute amevaa transparent halafu mwanga wa gari ukamulika na kuchora kule kwenye mapaja dah.........
   
 15. Mzee

  Mzee JF-Expert Member

  #15
  Aug 27, 2011
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 12,973
  Likes Received: 2,967
  Trophy Points: 280
  Huku kwetu tunaita "kuzingatia".
  Usipozingatia una matatzo.
   
 16. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #16
  Aug 27, 2011
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,517
  Likes Received: 2,265
  Trophy Points: 280
  ni kufurahia na kua-appreciate uumbaji wa mungu. tatizo ni pale unapotaka kujimilikisha kwa nguvu. hata sie huwa tunawachabo,tofauti sie tunaangalia kipembeni, nt necessary tuwe tumevutiwa. hata maajabu tunachabo tu,relax kaka!
   
 17. mikatabafeki

  mikatabafeki JF-Expert Member

  #17
  Aug 28, 2011
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 12,837
  Likes Received: 2,101
  Trophy Points: 280
  huh...................nisipokodolea ntaonekana mnafki
   
 18. Rweye

  Rweye JF-Expert Member

  #18
  Aug 28, 2011
  Joined: Mar 16, 2011
  Messages: 15,062
  Likes Received: 3,089
  Trophy Points: 280
  Huwa natamani kupeleka mkono walau niguse kidogo...kibaya zaidi ni pale anapogundua naye akaamua kukuonea huruma..anaaamua kuachia zaidi hadi kwenye milango ya V,huwa najikuta nasali ile sala ya ...na sasa ni saa ya kufa kwetu...
   
 19. luckyperc

  luckyperc JF-Expert Member

  #19
  Aug 28, 2011
  Joined: Jan 17, 2011
  Messages: 496
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  mzee kuzingatia u mean chabo chabooo......
   
 20. luckyperc

  luckyperc JF-Expert Member

  #20
  Aug 28, 2011
  Joined: Jan 17, 2011
  Messages: 496
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  mkuu wewe ni noma inawezekana ni mtaalamu wa kubambia kwenye daladala....hehehe
   
Loading...