Tujifunze lugha yetu-flash back

Mtazamaji

JF-Expert Member
Feb 29, 2008
5,937
1,437
Hallo wadau.

Katika kukumbushana old kanumba's primary school leo tukumbushane hadithi na vitabu vya k iswahili vya Tujifunze lugha yetu.
  • Unakumbuka hadithi gani?
  • Ulipenda wahusika gani na matukio gani
Darasa la tatu nakumbuka shairi hili la sungura na sizitaki mbichi hizi.

Hadith iinayokuja ni ya sungura sikia
hadithi uliyongoja leo ninakuletea

Alitoka siku mojaaaa, njaaa aliposikia
Njaa aaliposikia, sungura nakumbia

Siku ile akaendaaaaa .porrini kutembelea
Akayaona matunda, mtini yameeenea

Sungura akayapenda , mtini akasogea
mtini akasogea sungura nakumbia
..........

Anayeweza kuendeleaaaaa


Karibuni
 
Sikumbuki hata moja. Umenkumbusha mbal kwel. Nice.
hahhaah unakumbuka nini Huumbuki hata Neeema, baraka , Musa and Mr and Mrs daudi ........ English for tanzanian primry schools

mchapa shughuli said:
brown ashika tama-kiswahili std 7.
si mchezo we kiboko hii najribu kuvuta umbukumbu nimeshasau kabisa

bujibuji said:
zamani kila hadithi ilikuwa inachombezwa na wimbo
mi nakumbuka mashairi lile la
karudi baba mmoja toka safari ya mbali
kavimba yote ya mapaja na kutetemeka mweili
watoto wake wakaja ili kumtaka hali
na ua jekundu (RTD)
hii haikuwa Tujifunze lugha yetu hii kilikuwa ni kipindi cha mama na mwana jumamosi
 
siku ya gulio katerero

mandewe mbakishie mandawa

kondoo zizini

mfalme ana maskio marefu zaidi ya punda

tolla ala gizanipepe mbona huna maskio
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom