Cheusimangala??????????????????

First Born

JF-Expert Member
Jul 11, 2011
5,310
1,473
Yuko wapi jamani??
nishakimisssssssss kile kiuno!!!!!!!!!!
room la kulala mwanaume nk

au kajifungua?
au yuko safarini?
au ndo au?
mwambieni ajitokeze jamani niwe napoteza mafeelings!
 
Cheusimangala's life is good... anahisi anaishi maisha raha mstarehe...
na Shemeji alomchumbia hapa juzi kati... Kwa sasa akili yake yooote
kaelekeza kwa huyo shemeji... na jf atarudi but mpaka shem awe attended kwanza...
 
mhhhh!!
 
Wonderful Ashadii!
nAMSHANGAA First Born kwa kuwa nyuma ya wakati!
Cheusi alishatangaza juzi kuwa yuko bize kwa sasa maana amempata mtu anayehisi ni chaguo lake la mwisho!
Hivyo kwa sasa asitumiwe PM za mambo ya nanihii, bali za Business tu.
 
hahahahahahahahaaaaaa!!! Mi nam PM, liwalo na liwe ilimradi tu ajue nimemfikishia ujumbe wangu.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom